Ndege ya pili ya Tanzania imewasili, kuzinduliwa kesho na JPM

Ndege moja kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

Ndege hizo aina ya Bombardier Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard Chamuriho amesema Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Ndege ya pili mpya imewasili leo, uzinduzi kufanyika kesho

Ndege ya pili kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

n5
Ndege ya pili ilivyo wasili leo ikipata saluti ya maji

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

n6

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard...

 

5 months ago

BBCSwahili

Airbus A220-300: Ndege mpya ambayo imenunuliwa na Tanzania imewasili Dar es Salaam

Ndege hiyo, ambayo imeundwa na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus, ni ya muundo wa A220-300.

 

3 years ago

Mwananchi

JPM kuzindua ndege mpya kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ndege ya pili ya ATCL kuwasili leo, uzinduzi kufanyika kesho

Ndege moja kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kuwasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard Chamuriho amesema Rais John Pombe Magufuli...

 

4 years ago

Vijimambo

TAASISI YA WANAWAKE WAHASIBU TANZANIA KUZINDULIWA HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO DAR ES SALAAM KESHO

 Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo utakaofanyika leo Hoteli ya Hyatt Regence (Kilimanjaro Hoteli). Kutoka kulia ni Mratibu wa Taasisi hiyo, Rose Majuva, Mwenyekiti, Bahati Geuzye na mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

 

3 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PILI LA MAVAZI YA STARA KUZINDULIWA.

 Maoneshi ya Mavazi yakiendela.TAMASHA la pili la Stara, Stara fashion Week 2016 linatazamiwa kuchukua nafasi yake tena mwaka huu katika ukumbi wa City Garden Restaurant Kamata, June 1 hadi 5.
Tamasha hilo ambalo litafunguliwa na Exhibition ya bure, linakaribisha watu mbalimbali wanawake wanaume na watoto kwa manunuzi ya vitu mbalimbali, kama vile Mabaibui,Mitandio Madera kwa ajila ya Mwezi mtufu wa Ramadhani, evening dresses, kanzu, Udi Hena na vitu vingine pia kutakuwa na wachora heena kwa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Nitetee Bwana kuzinduliwa kesho

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, Amoni Mwakalukwa, kesho anatarajia kuizindua albamu yake ya pili iitwayo ‘Nitetee Bwana’ shughuli itakayofanyika kwenye ukumbi wa FFU Ukonga jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini...

 

2 years ago

MwanaHALISI

‘Boda to boda’ kuzinduliwa kesho

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Foundation For Civil Society (FSC) kesho linatarajia kuzindua kampeni ya “Chungulia Fursa Boda to Bado,” anaandika Victoria Chance. Akizungumza na MwanaHALISI Online, Boniphace Makene, Afisa Mawasiliano wa shirika hilo, amesema “ lengo la kampeni hii ni kuwahamasisha vijana na wanawake kuzitambua fursa za kibiashara na uchumi zilizopo kwenye Jumuiya ya ...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Ndege mpya ya Tanzania kutua kesho

Ndege ya kwanza kati ya mbili zilizonunuliwa na Serikali za Shirika la Ndege la Tanzania inatarajiwa kuingia  nchini kesho ikitokea Canada.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam imesema ndege hiyo aina ya Bombardier Q-400 inatarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati wa mchana.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Patrick Itule amesema ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 76, tayari imeanza safari ya kuja nchini tangu mwishoni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani