Ndugai atajwa kesi ya ufisadi Ngorongoro

ndugai (1) NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

SPIKA wa Bunge Job Ndugai ametajwa katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA),  upotevu  wa Dola za Marekani 66,890 sawa na Sh. Milioni 133.7

Washitakiwa katika kesi hiyo ni Mhifadhi Mkuu wa zamani wa NCAA, Benard Murunya ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Meneja wa Utalii wa NCAA Veronica Funguo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Cosmas ya Uwakala wa Usafirishaji Salha Issa.

Kesi hiyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Maige atajwa ufisadi Ngorongoro

maigeNA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KAIMU Mhasibu Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Sezari Semfukwe, amedai kuwa Mhifadhi Mkuu wa zamani wa mamlaka hiyo, Benard Murunya, aliidhinisha hundi ya malipo na dokezo la safari ya Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige.

Semfukwe alidai hayo jana mjini hapa, wakati alipokuwa akitoa ushahidi katika kesi inayomkabili Murunya na wenzake watatu ambao kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka.

Akiongozwa na...

 

3 years ago

Mwananchi

Kamishina wa zamani TRA atajwa ufisadi

Serikali imeanza kuzichunguza benki ya Stanbic (T) na Kampuni ya Egma ya hapa nchini kutokana na kuhusika katika udanganyifu wa riba ya mkopo Dola za Kimarekani 600milioni (Sh1.3 trilioni) iliyopewa Tanzania na benki ya Standard ya Uingereza.

 

3 years ago

Mwananchi

Miss Tanzania atajwa ufisadi wa Sh1.3 trilioni

Aliyekuwa ofisa mwandamizi wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania, Shose Sinare amehusishwa na mipango ya kifisadi ambayo imeisababishia Serikali ya Tanzania hasara ya Sh1.3 trilioni kati ya mwaka 2012 na 2013.

 

2 years ago

Malunde

FARU NDUGAI AANZA VURUGU NGORONGORO


MNYAMA faru aliyepewa jina la Spika wa Bunge, Job Ndugai ameanza vurugu katika Hifadhi ya Ngorongoro hususan ndani ya kreta.
Spika Ndugai aliwahi kuwa Mhifadhi na Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). “Faru wote zaidi ya 60 wanaishi ndani ya Kreta la Ngorongoro, lakini hivi karibuni ‘Faru Ndugai,’ amekuwa ni pasua kichwa, kila mara anatoroka kutoka bondeni na kupanda maeneo ya nyanda za juu za Hifadhi ya Ngorongoro na kuwapa wakati mgumu askari wanyamapori na wahifadhi...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Josephine Mushumbusi atajwa kesi ya Lulu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka askari aliyerekodi ushahidi wa Josephine Mushumbusi kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Elizabeth Michael (Lulu), anaandika Faki Sosi. Mushumbusi ni mmoja wa mashahidi muhimu katika kesi ya msanii huyo ambaye alichukuliwa maelezo yake. Lulu anatuhumiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake aliyekuwa ana mahusiano naye kimapenzi, Steven ...

 

2 years ago

Malunde

SPIKA NDUGAI: WABUNGE WANAOTAJWA KATIKA UFISADI WASICHAGULIWE TENA KUGOMBEA UBUNGE


Spika wa bunge Job Ndugai amesema kutokana na ripoti nyingi za ufisadi kuwahusisha viongozi mbalimbali wa siasa wakiwemo wabunge waliowahi kuwa mawaziri, ipo haja ya kuandikia barua vyama vyao ili visiwapitishe kugombea.

Hayo ameyasema leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti mbili za bunge kwa Rais Magufuli.
"Vyama vya siasa vina nguvu sana ipo haja ya kuviandikia barua, kwa sababu wananchi hawana makosa kuwachagua kwa sababu hawajui" ,amesema Ndugai.

 

2 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya mhifadhi Ngorongoro Desemba 6

HUKUMU ya aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Bernad Murunya na wenzake watatu ya kuisababishia hasara serikali ya dola za Marekani 66,890, jana imeahirishwa.

 

3 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya mil. 140/- Ngorongoro Novemba 25

HUKUMU dhidi ya aliyekuwa Mhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Bernard Murunya na wenzake watatu inatarajia kutolewa Novemba 25, mwaka huu kwenye Mahakama ya Wilaya ya Arusha.

 

3 years ago

Mwananchi

Kesi za ufisadi kutumia miezi 9

Takriban siku 88 zikiwa zimepita tangu Bunge lipitishe muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo kuanzisha Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imefahamika sasa kesi za watuhumiwa ufisadi hazitachukua zaidi ya miezi tisa katika Mahakama hiyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani