NEC YATOA UFAFANZI TUHUMA ZA CHADEMA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

NEC yakanusha tuhuma kuhusu BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema tuhuma zilizotolewa, zinazodai kuna uandikishaji wa wapiga kura kwa mashine za BVR, unaofanyika katika eneo la viwanda Mikocheni jijini Dar es Salaam, hazina ukweli.

 

2 years ago

Mwananchi

NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura

Kwa mara nyingine, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai kunasa kadi za kupigia kura.

 

2 years ago

Michuzi

CBE yatoa ufafanuzi tuhuma za upostoshaji.

Frank Mvungi-Maelezo
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimewataka wananchi kupuuza taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na Baadhi ya vyombo vya Habari Hapa nchini kuhusu chuo hicho.
Akizungumza na vyombo vya Habari leo jijini Dar es salaam Mkuu wa chuo hicho Prof. Emmanuel Mjema amesema tuhuma za kuwa chuo hicho kina ubadhirifu wa kutisha si za kweli na zinalenga kuchafua taswira ya chuo hicho.
“Chuo kinafanyiwa ukaguzi wa Hesabu zake na Mkaguzi na Mdhibiti wa hesabu za Serikali na kwa kipindi...

 

3 years ago

GPL

NEC YATOA TATHIMINI YA BRV

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa kwenye mkutano huo. Mkurugenzi wa NEC, Julias Malaba akiwasilisha mada.…

 

1 year ago

Habarileo

NEC yatoa elimu ya mpigakura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutekeleza programu endelevu za kutoa elimu ya mpigakura ili kuwaelimisha wananchi waliofikisha umri wa kupiga kura kutekeleza wajibu na haki waliyonayo kikatiba ya kupiga kura katika chaguzi zijazo.

 

3 years ago

GPL

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015. Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba; Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi. Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.… ...

 

2 years ago

Mtanzania

NEC yatoa ufafanuzi utaratibu wa kupiga kura

Damian-LubuvaJONAS MUSHI NA ALLEN MSAPI (GHITBS), DAR ES SALAAM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ufafanuzi zaidi juu ya masuala mbalimbali yanayowakanganya wananchi na kuibua taharuki kuhusu upigaji kura katika uchaguzi mkuu Jumapili ijayo.

Juzi, Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva, alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kufafanua masuala yaliyokuwa yakihojiwa na wananchi kuhusu upigaji kura, taarifa ambayo nayo iliibua maswali mengine.

Moja ya suala lililoleta utata ni taarifa kuwa mtu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani