NEMC yasema maji ya Mto Ngerengere si salama

BARAZA la Taifa la Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira (NEMC) limesema vipimo vya maji machafu yanayotoka katika viwanda vilivyopo eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kuelekezwa Mto Ngerengere, yamekuwa na kemikali zenye sumu ambayo ni hatari kwa maisha ya viumbe hai wanaotumia maji hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere

Mtoto wa darasa la kwanza Mkoani Pwani aliyetambulika kwa jina la Karim Salum anahofiwa kufariki Dunia baada ya kuzama wakati alipokuwa akiogelea kwenye maji ya Mto Ngerengere.

Wananchi wameendelea na jitihada za utafutaji wa mwili wa mtoto huyo ambao mpaka sasa bado haujapatikana.

The post Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere appeared first on Zanzibar24.

 

4 years ago

GPL

NEMC YASEMA UTUNZAJI MAZINGIRA NI JUKUMU LETU SOTE‏

Mhandisi wa Mazingira wa Mamlaka ya udhibiti na usimamizi wa mazingira(NEMC)Arnold Kasilaga.akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wafanyakazi wa Mlimani City.Wakati wa kuadhimisha siku ya mazingira duniani ambapo wafanyakazi hao walifanya kazi ya usafi kwa vitendo kuzunguka maeneo ya Mlimani city jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama wa Vodacom Tanzania Karen Lwakatare,akiongea jambo na baadhi ya...

 

4 years ago

Michuzi

MUWSA YASAMBAZA BOMBA ZA MAJI MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.
TATIZO la upungufu wa maji katika Manispaa ya Moshi linaelekea kuwa historia ifikapo mwezi Desemba mwaka huu kufuatia kukamilika kwa utekelezaji wa  mradi mkubwa wa maji uliopo katika chemchem ya Mto Karanga ambao umegharimu kiasi cha shilingi milioni 382.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ( MUWSA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefafanua kuwa, mradi huo utakapokamilika utahudumia maeneo ya Bomambuzi, Pasua ,...

 

4 years ago

GPL

MUWSA YASAMBAZA BOMBA LA MAJI KATIKA MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonyesha wanahabari chanzo cha maji kilichopo Mto Karanga .…

 

11 months ago

Zanzibar 24

SMZ yasema hapana ukosefu wa vyanzo vya maji wala chemchemu za kuzalisha maji zanzibar

Wizara ya ardhi maji nishati na mazingiara imesema hapana ukosefu wa vyanzo vya maji wala chemchemu za kuzalisha maji hapa Zanzibar.

Akijibu swali katika kikao cha baraza la Wawakilishi Chukwani nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Naibu waziri wa wizara hiyo Juma Makungu Juma amesema tatizo la uhaba wa Maji katika baadhi ya maeneo ya Zanzibar linatokana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi na sio ukosefu wa vyanzo vya maji.

Amesema kuwepo kwa mabadiliko ya tabia ya nchi kunachangia kwa kiasi...

 

3 years ago

BBCSwahili

Google yasema magari yake ni Salama

Madereva wa magari yanayojiendesha ya Google walilazimika kushika usukani wa magari hayo ili kuzuia yasifanye ajali

 

3 years ago

Channelten

KERO YA MAJI KATA YA SEPEKO (W) MONDULI; Zaidi ya wananchi 10000 watumia maji yasiyo salama

 

maji

Zaidi ya wakazi elfu kumi kutoka vijiji vya Arkata, mti mmoja , lendikinya na Lashaine vilivyopo katika kata ya Sepeko wilayani Monduli mkoani Arusha wanaotegemea maji kutoka bwawa la Nadosoito lililopo katika kijiji cha Arakta wako hatarini kuugua magonjwa ya mlipuko ikiwemo homa ya matumbo, na kipindupindu kutokana na kutumia maji katika bwawa hilo ambayo si safi wala salama.

Aidha mifugo ya wakazi wa vijiji hivyo nayo iko hatarini kutokana na kutumia maji hayo ambayo ni machafu kwa...

 

1 year ago

VOASwahili

IEBC yasema mifumo yake iko shwari na salama

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya, IEBC, siku ya Jumanne iliwahakikishia wapiga kura kwamba vifaa na mifumo ya kupigia kura, iko imara, licha ya kifo cha naibu mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano na teknolojia, Chris Msando.

 

12 months ago

Michuzi

TBL YASEMA MFUMO WAKE WA TAARIFA UKO SALAMA

*Yapunguza bei ya bia ya Castle Lite Premium Lager
Na ripota Wetu,Globu ya jamiiKAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizozagaa mitandaoni za kudukuliwa kwa mfumo wake wa kuhifadhi taarifa zake na kusisitiza mfumo huo uko salama baada ya kujiridhisha. 
Mapema jana asubuhi kulionekana taarifa ya video kwenye mtandao wa YouTube ikioesha kuna mtu aliyekuwa amevalia kofia iliyofunika uso (Mask) ikieleza kuwa, mfumo wa kuhifadhi taarifa wa TBL umedukuliwa na hivyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani