Newcastle 2-1 Arsenal: Mapungufu ya Arsenal yaigharimu timu hiyo

Newcastle imeinyuka Arsenal 2-1 huku jinamizi la rekodi mbaya kwa Arsenal 2018 likiendelea kuiandama timu hiyo ya Arsene Wenger.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

KINDA WA ARSENAL ALIESHINDWA KUITUMIA TIMU HIYO KWA KUKOSA KIBALI SASA RUKSA.


Silva sasa ruksa Arsenal
Baada ya kushindwa kucheza Arsenal kwa miaka minne kutokana na tatizo la kibali cha kazi, Mbrazili Wellington Silva sasa njia ni nyeupe.
Silva (22) alisajiliwa na Arsenal kutoka Fluminense tangu 2011 lakini akashindwa kucheza kwa vile hakupewa kibali cha kazi kwa vile hakuwa na uzoefu mkubwa na anatoka nje ya Umoja wa Ulaya (EU).Walichofanya Arsenal ni kumpeleka kwa mkopo katika klabu tano tofauti za Hispania (imo kwenye AU) na sasa baada ya miaka minne amepewa uraia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Arsenal 3-0 Newcastle

Arsenal yaimarisha nafasi yake ya kushiriki ligi ya mabingwa mwakani kwa kuilaza Newcastle 3-0

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaichapa Newcastle 1 - 0

Arsenal yaichapa Newcastle 1 - 0

 

4 years ago

BBCSwahili

Arsenal yailaza Newcastle

Arsenal ilihimili kishindo cha Newcastle katika kipindi cha pili ikiendelea na harakati za kuchukua nafasi ya pili katika ligi

 

5 years ago

Mwananchi

Newcastle kwa Arsenal

>Ni mwaka mzima umepita tangu siku Newcastle United waliponyukwa 7-3 na Arsenal, lakini sasa wamebadilika watakuwa wakisaka kulipa kisasi kesho kwenye Uwanja wao St James’ Park.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal kujitetea nyumbani dhidi ya Newcastle

Klabu za Ligi Kuu ya England zitashuka dimbani kusaka alama za kwanza Mwaka Mpya hapo kesho Jumamosi, Arsenal wakijaribu kuendeleza uongozi kileleni.

 

5 years ago

GPL

ARSENAL WAZIDI KUJIKITA TOP 4, WAIZAMISHA NEWCASTLE 3-0

Arsenal wakishangilia ushindi wao usiku huu. Bao la kwanza la Arsenal likifungwa na Laurent Koscielny dakika ya 26. Mesut Ozil akiifungia…

 

2 years ago

Zanzibar 24

Walcot aing’arisha Arsenal, Xhaka alimwa red, Ubaoni Arsenal 3-2 Swansea

Theo Walcott ameifungia  Arsenal mabao mawili dakika za 26 na 33 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Swansea City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London.

Bao lingine la Arsenal iliyompoteza mchezaji wake, Granit Xhaka aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 70, lilifungwa na Mesut Ozil dakika ya 57 wakati ya Swansea yalifungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 38 na Borja Baston dakika ya 66

11

The post Walcot aing’arisha Arsenal, Xhaka alimwa red, Ubaoni Arsenal 3-2...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ozil amekuwa mcharo Arsenal ikielekea 16 Bora Ulaya; Ubaoni Arsenal 3-2 Ludogorets

Arsenal imepata ushindi wa ajabu kufuatia goli maridadi la Mesut Ozil lililoanza na kipa kuvishwa darzi na hatimaye mabeki wawili kurambishwa udongo punde kabla mpira kumalizika katika mchezo wa kundi A

Mabao mengine ya Arsenal yalifunga na  Granit Xhaka na Ilivier Giroud, wakati ya Ludogorets yalifungwa na Jonathan Cafu na Claudiu Keseru

arsenal

kundi-a

The post Ozil amekuwa mcharo Arsenal ikielekea 16 Bora Ulaya; Ubaoni Arsenal 3-2 Ludogorets appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani