NEWS ALERT: TAKUKURU KUKATA RUFAA DHIDI YA HUKUMU YA MHANDO NA WENZAKE

Kufuatia wadau wengi kuhitaji kujua hatua zitakazochukuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) dhidi ya hukumu ya kesi ya rushwa Na. 75/2014 iliyokuwa ikimkabili Bw. William Mhando aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na wenzake watano.
TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba inafanya taratibu za kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo iliyosomwa tarehe 14/4/2016 na Mhe. Hakimu Mkazi Hellen katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaniaba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Takukuru kukata rufaa hukumu ya Mhando wa Tanesco

Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inaandaa utaratibu wa kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

 

1 year ago

CHADEMA Blog

CHADEMA kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mbunge wake kwenda jela miezi sita

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema kuwa chama hicho kitakata rufaa dhidi ya hukumu ya kwenda jela miezi sita ya Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mheshimiwa Peter Lijualikali wa CHADEMA, iliyotolewa leo na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero,mkoani Morogoro. Tundu Lissu amekiambia kituo cha Radio cha EFM 93.7DSM kwamba, hukumu hiyo ni mwendelezo wa dhuluma

 

1 year ago

Habarileo

Chadema kukata rufaa hukumu ya Mbunge

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakikubaliani na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero dhidi ya Mbunge, Peter Lijualikali na kwamba imepanga kukataa rufaa katika Mahakama Kuu.

 

1 year ago

Bongo5

Chadema kukata rufaa hukumu ya Mbunge Lijualikali

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakikubaliani na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero dhidi ya Mbunge, Peter Lijualikali na kwamba imepanga kukataa rufaa katika Mahakama Kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari Alhamisi hii katika Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema Lijualikali ni mfungwa wa kisiasa na amefungwa kwa sababu ya vita ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Upinzani.

Lissu alisema,...

 

3 years ago

Raia Tanzania

DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

 

2 years ago

BBCSwahili

Malaysia:Wataka kukata rufaa dhidi ya Razak

Shirika la kukabiliana na ufisadi nchini Malaysia linasema kuwa litakata rufaa kuhusu uamuzi wa kuondoa tuhuma za ufisadi dhidi ya waziri mkuuu, Najib Razak.

 

3 years ago

Habarileo

DPP kukata rufaa dhidi ya ombi la Shehe Farid

Shekhe Farid Hadi AhmedMKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusudio la Kukata Rufaa dhidi ya uamuzi wa ombi lililowasilishwa na Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.

 

4 years ago

BBCSwahili

Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

 

3 years ago

Mwananchi

Mbowe ashinda rufaa dhidi ya hukumu kesi ya shambulio

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi leo imeifuta hukumu iliyomtia hatiani Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na kuamuru arejeshewe Sh1 milioni alizolipa kama faini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani