News Alert: WACHIMBAJI WA MADINI WAFARIKI KWA KUKOSA HEWA MGODINI TANZANIA

Wachimbaji wawili wadogo wa madini ya dhahabu katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa tarafa ya Mlowa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa.Wananchi wa Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa wakiwa wamebeba mmoja kati ya miili ya wachimbaji wadogo wawili waliokufa mgodini kwa kukosa hewa leoMiili ya wachimbaji wadogo wawili katika mgodi ya Mamweli Msigwa ukiingizwa kwenye gari la polisiKamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi katikati mwenye kofia nyeusi akionyeshwa shimo la mdogi wa dhahabu ambalo limesababisha vifo vya watu wawiliWananchi wakiwa eneo la tukioAskari polisi na wananchi wakitazama mgodi huo uliouwaMilili ya wachimbaji wadogo wawili walipoteza maisha mgodini leo
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akitazama shimo la mgodi katika kijiji cha Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa ambalo wachimbaji wawili wadogo wawili walipoteza maisha kwa kukosa hewa wakati wakichimba madini leo asubuhi
Mmiliki wa mgodi huo Samweli Msigwa kushoto akihojiwa na polisi ,katikati ni kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akitazama shimo la mgodi katika kijiji cha Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa ambalo wachimbaji wawili wadogo wawili walipoteza maisha kwa kukosa hewa wakati wakichimba madini.Picha zote kwa hisani ya MatukiodaimaBlog 

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Channelten

Wachimbaji wawili wadogo wa madini Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi

DSC_0434

WACHIMBAJI wawili  wadogo wa madini katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa tarafa ya Mlowa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi.

Kwa muji wa taarifa kutoka eneo la tukio Afisa Mtendaji  wa kijiji cha Masulutu BwVenjaslaus Kiunosile amesema kuwa tukio hilo  limetokea leo Majira ya saa  5 asubuhi na alipata kujua juu ya tukio hilo baya baada ya kwenda kuwajulia hali wachimbaji hao kama ilivyokawaida yao ya kila siku.

Kamanda wa polisi wa...

 

11 months ago

Malunde

WACHIMBAJI WANNE WA MADINI WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI GEITA


Picha haihusiani na habari hapa chini

Wachimbaji wadogo wanne wamekufa baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya Nyamalimbe yaliyopo wilayani Geita mkoani Geita.
Watu saba walifukiwa ambapo kati yao watatu wameokolewa na wamelazwa katika Kituo cha Afya Katoro.
Tukio hilo limetokea leo saa mbili asubuhi. 
Mkuu wa Wilaya ya Geita ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya Herman Kapufi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

 

11 months ago

Michuzi

Wachimbaji madini wadogo wawili wapoteza maisha mgodini Iringa

  Na MatukiodaimaBlog WACHIMBAJI wawili  wadogo wa madini ya dhahabu katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa tarafa ya Mlowa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa wakiwa kazini ndani ya mgodi.Afisa mtendaji wa kijiji cha Masuluti Venjaslaus Kiunosile amesema kuwa tukio hilo  limetokea leo Majira ya saa  5 asubuhi, na kwamba taarifa ya tukio hilo alipewa na mchimbaji mwenzao aliyewatembelea marehemu hao kwa ajili ya kuwasalimia. Kamanda wa polisi wa mkoa wa...

 

3 months ago

Malunde

WACHIMBAJI WANNE WA MADINI WAFARIKI KWA KUFUNIKWA KIFUSI ARUSHA...HAYA HAPA MAJINA YAOWachimbaji wanne wamefariki na mmoja yupo mahututi baada ya kuangukiwa na Ngema walipokuwa wakipakiza changarawe kwenye gari katika machimbo ya changarawe yaliyopo katika mlima Murieti katika jiji la Arusha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha leo Januari 30 kuhusu kutokea tukio hilo mchana, katika eneo ambalo ni machimbo ya muda mrefu ya changarawe.
Miili ya watu watatu tayari imetambulika ambao ni Yusuph Mohamed Kamwende(35) Athuman Hussein umri wake haujatambulika...

 

2 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TUNDU LISSU AWEKWA RUMANDE KWA KUKOSA DHAMANA.

MBUNGE wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana, mara baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kufuatia kauli yake aliyoitoa jana inayoelezwa kuwa si ya kuingwana.
Kukosa dhamana hiyo kunafuatia kwa  Mbunge Lissu kuripoti  katika kituo cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa ajili ya kuhojiwa na Jeshi hilo kuhusu kauli yake aliyoitoa jana baada ya kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mbunge...

 

3 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WACHIMBAJI WA DHAHABU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA KIFUSI HUKO KAHAMA

Wachimbaji wadogo wadogo wapatao 20 wa dhahabu katika machimbo ya madogo yaliyopo kwenye kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wamedaiwa kufariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo hayo.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yaliachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AWAAGIZA WACHIMBAJI MADINI KUPELEKA ORODHA YA WACHIMBAJI WADOOWADOGO MADINI YA JASI NA MAKAA YA MAWE.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akizungumza na wadau mbalimbali wa uchimabji wa madini ya Jasi (Gypsum) na Makaa ya mawe nchini leo Jijini Dar es salaam na kuwaagiza wawakilishi wa wachimbaji wa madini ya Jasi (Gypsum) kutoka kanda zote hapa nchini kufikia Agosti 10-11 kupeleka orodha kamili ya majina ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya Jasi (Gypsum) na makaa ya mawe katika wizara ya Nishati na madini.
Hayo ameyasema wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa...

 

6 months ago

Michuzi

NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA

Barrick Gold Corporation yenye makao yake jijini Toronto, Canada, litaunda kampuni mpya (sio Acacia) kuendesha migodi yake ya Bulyanhuru, Buzwagi na North Mara nchini Tanzania.Katika taarifa yake juu ya makubaliano na serikali ya Tanzania yaliyofikiwa juzi jijini Dar es salaam, Shirika hilo limesema msimamo wa uwazi ulioafikiwa baina ya washirika (Tanzania na Barrick) ndio utaoainisha namna kampuni hiyo mpya itafanya shughuli zake."Kwa mfano Serikali ya Tanzania itashiriki katika maamuzi...

 

1 year ago

Malunde

MAKAMU WA RAIS TANZANIA ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA MKUU WA MKOA WA GEITA KUOKOA WACHIMBAJI 15 WALIOFUKIWA UDONGO MGODINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za pole na pongezi Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga kwa kazi nzuri na kubwa waliyoifanya ya kuwaokoa wachimbaji wadogo 15 waliofukiwa na maporomoko ya udongo kwenye Mgodi wa Dhahabu wa RZU uliopo katika Kijiji cha Nyarugusu, wilaya ya Geita katika mkoa wa Geita.

Tukio hilo la kufukiwa wachimbaji hao wadogo 15 wakiwemo Watanzania 14 na raia Mmoja wa China lilitokea usiku wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani