NHIF TANGA YAHAMASISHA WAFANYABIASHARA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) umesema watatumia maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Jijini Tanga kuwahamasisha wafanyabiashara kujiunga nao ili waweze kunifaika na huduma za matibabu pindi wanakuwa wakikumbana na magonjwa mbalimbali. 
Hayo yalisemwa jana na Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) Sophia Kaku wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda lao kwenye ufunguzi wa maonyesho ya sita ya biashara ya kimataifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA PAMOJA LENGO KUHAMASISHA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao

Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahima akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wa wafanyabiashara na wajasiamali mkoani Tanga leo

Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi...

 

3 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).

 Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance Ndyamkama akiongea na wafanyabiashara wa Kigoma jinsi ya kujiunga na mfuko huo Makamu mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Kigima(TCCIA) Sethi Naftari akisona hotuba ya wafanyabiashara kwa Mgeni rasmi Issa Machibya na maofisa mfuko wa bima ya afya Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa...

 

2 years ago

Michuzi

NHIF YAHIMIZA WANAMICHEZO KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA.

Na Muhidin Amri, Songea.MFUKO wa taifa wa Bima ya Afya(NHIF) umewahimiza wana michezo nchini kuchangamkia fursa ya kujiunga na mpango wa matibabu kupitia mfuko wa afya ya jamii(CHF) na mfuko wa taifa wa Bima ya Afya(NHIF) kwa ajili ya kupata huduma bora za matibabu pindi wanapoumia wakiwa michezoni.
Rai hiyo imetolewa  mwishoni mwa wiki na meneja wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF)mkoani Ruvuma Abdiel Mkaro wakati wa Bonanza maalum la kuhamasisha jamii hususana wana michezo kujiunga na...

 

1 year ago

Michuzi

NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA


Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akimsikiliza kwa umakini mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa ...

 

10 months ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA


WATANZANIA wametakiwa kujiunga na mpango wa bima a Afya ili waweze kunufaika na huduma za matibabu ya uhakika wakati wanapokuwa wakiugua na hivyo kuwapunguzia mzigo wa kuingia gharama kubwa.

Hayo yalisemwa leo na Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) Makao Makuu Hawa Duguza wakati akizungumza kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea maonyesho ya biashara ya kimataifa.

Licha ya mfuko huo kutoa elimu juu ya umuhimu wa mpango wa bima lakini...

 

4 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Na Bakari Issa,Dar es Salaaam
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KINONDONI, MAULID MTULIA ASISITIZA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

 Mbunge wa Jimbo Kinondoni, Maulid Mtulia akizungumza na wananchi Jimboni kwake juu ya kuwasisitiza wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambayo kwasasa inapatikana Jimboni kwake kwa ada ya shilingi elfu 40,000 kwa mwaka mzima. mwananchi ukiwa na kadi hiyo utamuona Daktali utapa vipimo na kupatiawa dawa. bila kutoa gharama yoyote, katika mkutano huo ulifanyika  kwenye viwanja vya Magomeni jijini Dar es Salaam. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob...

 

4 years ago

Michuzi

NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”

 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu...

 

4 years ago

Vijimambo

NHIF YATOA MAFUNZO KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA KIKOA

 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii ya Tanzania, NHIF, Rehami Athumani, akifungua warsha hiyo kwa wanaMtandao wa Bloggers Tanzania (TBN)  leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam. MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani