NHIF YATOA HUDUMA ZA UPIMAJI KWENYE BONANZA LA MICHEZO JIJINI TANGA LEO

Afisa Mdhibiti wa Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga,Dkt Lwi Kupaza akiangalia taarifa za moja ya wakazi wa Jiji la Tanga ambao walijitokeza kupima uzito,sukari na presha wakati wa bonanza la michezo ambalo limefanyika leo kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally MwakababuDaktari wa NHIF kushoto akimpima presha Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

NHIF yatoa huduma za upimaji afya bure wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto akitoa ufafanuzi wa huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika alipotembelea banda la Mfuko huo, Kushoto ni Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke Ellentruda Mbogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika akifurahi jambo baada ya kupata maelezo na huduma zinazotolewa na NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa...

 

5 years ago

Mwananchi

NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeanza mkakati wa kupima afya za Watanzania bila malipo nchini nzima.

 

2 years ago

Michuzi

NHIF endelezeni huduma za upimaji afya- Wananchi

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Shinyanga na Simiyu Bw. Imanuel Amani akitoa elimu kwa mwananchi mkoani Simiyu aliyefika katika banda la Mfuko kujua namna ya kujiunga. 
Na Mwandishi Wetu, Simiyu
WANANCHI wa Mkoa wa Simiyu wameuomba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuendelea kutoa huduma ya upimaji wa afya bure katika maeneo ya vijijini ili wananchi walioko huko wanufaike nazo.
Rai hiyo waliitoa mwishoni mwa wiki iliyopita katika kilele cha Maadhimisho ya wiki ya Vijana...

 

4 years ago

Michuzi

NHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure

Dr. Natalius Kapilima wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya akimpima shinikizo la damu Bw. Exadius Nthono wa Lesotho katika mkutano wa mwaka wa wahasibu waandamizi unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ambapo NHIF inatoa huduma za upimaji afya bure. 
Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...

 

5 years ago

Michuzi

NHIF yapongezwa kwa huduma za upimaji Afya bure

Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia kipeperushi cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kinachoelezea fao la wastaafu wakati alipotembelea banda la Mfuko huo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo Tengeru.  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa Sabi akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Kagenzi Trasias baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Maofisa wa NHIF kuhusiana na namna ya kujiunga na Mfuko huo kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu.  Ofisa wa NHIF, Paul...

 

9 months ago

Michuzi

NHIF YAKUTANA NA WATOA HUDUMA WAKE WA JIJINI DAR LEO

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku moja na Watoa Huduma wake wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kupeana mrejesho wa huduma kwa wanachama, uliofanyika kwenye Ukumbi wa GEPF, jijini Dar es salaam leo.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umekutana na Watoa Huduma wake wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kupeana mrejesho wa huduma kwa wanachama lakini pia kujadili mambo...

 

10 months ago

Michuzi

SHIRIKA LA AGPAHI LIKISHIRIKIANA NA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA WAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI WA VVU KATIKA VITUO VYA AFYA JIJINI TANGA

Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Health Care Initiative (AGPAHI) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Tanga wameendesha zoezi la upimaji vya virusi vya Ukimwi kwa wakazi wa Jiji hilo huku zaidi ya wakazi 1900 wakijitokeza kupima na kupatiwa ushauri wa namna ya kuweza kujikinga na maambukizi ya VVU .
Upimaji huo ulifanyika kwenye vituo vya Afya Makorora, Ngamiani, Pongwe na Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani...

 

1 year ago

Michuzi

Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure

Yara Tanzania Ltd, imewekeza katika maabara ya kupima udongo ili kuweza kutambua virutubisho vilivyopo na vinavyokosekana kwenye udogo. Mara baada ya matokeo ya udongo kampuni hiyo kupitia wataalamu wake walio bobea kwenye sekta hiyo, hutoa ushauri kwa wakulima nini cha kufanya kulingana na zao lililolimwa au linalotarajiwa kulimwa. 
Afisa ugani wa kampuni hiyo Bw. Maulid Mkima, alisema "lengo kuu la kampuni ya Yara Tanzania kuweka maabara ya udongo,ni kuweza kuwapa wateja wao huduma nzuri na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani