Ni Lowassa tena bungeni

Dodoma. Ama kweli, Edward Lowassa angali vinywani mwa wabunge hata kama hayupo tena mjengoni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Lowassa gumzo tena bungeni

Edward Lowassa

Edward Lowassa

Na BAKARI KIMWANGA-DODOMA

JINA la aliyekuwa mgombea urais wa Chadema na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, limetikisa Bunge baada ya wabunge wa upinzani kuanza kuimba wimbo kwa kutumia jina lake.

Tukio hilo lilitokea jana mjini hapa wakati wa mjadala Muswada wa Sheria za Huduma ya Vyombo vya Habari wa mwaka 2016, baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Mollel (CCM), kulitaja jina la mgombea huyo kuwa alisafishwa na vyombo vya...

 

2 years ago

Mwananchi

Lowassa atinga bungeni

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa leo (Jumanne) ametinga bungeni kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za Bunge la 11, linaloendelea mjini humo.

 

4 years ago

Mwananchi

Keissy alianzisha tena bungeni

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ally Keissy jana alilazimika kusindikizwa na askari wa Bunge kuondoka katika viwanja vya eneo hili kumnusuru na hasira za wajumbe kutoka Zanzibar waliokerwa na mchango wake kuhusu masuala ya Muungano.

 

3 years ago

Mwananchi

Lowassa aibukia bungeni Dodoma

Jina la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa limeibuka bungeni baada ya mbunge mmoja kuiuliza Serikali kuwa haioni haja ya kubadili sheria ili viongozi wa zamani wa kitaifa wasipewe stahiki zao iwapo wanahama vyama baada ya kutoka madarakani.

 

4 years ago

Mwananchi

Ally Keissy ‘alianzisha’ tena bungeni

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy almanusura azue kizaazaa kwa mara nyingine na wabunge wa Zanzibar alipohoji sababu ya wabunge hao kuzungumzia suala la Rais Jakaya Kikwete kwenda kutibiwa Marekani akisema wenyewe wamekuwa wakienda kutibiwa India.

 

3 years ago

Mwananchi

Mvutano kuendelea tena leo bungeni

Serikali itakumbana na wakati mgumu leo bungeni pale itakapowasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka mmoja badala ya mitano, jambo ambalo wabunge wa wapinzani wamesema ni kinyume na kanuni za Bunge na Katiba ya nchi na kuahidi kuing’ang’ania Serikali, huku wakisema “labda watumie FFU kupitisha hoja hiyo.”

 

3 years ago

Mtanzania

Mbunge wa Ukawa kubanwa tena bungeni

Goodluck MilingaNa Arodia Peter, Dodoma

MBUNGE wa Viti Maalum, Anatropia Theonest (Chadema) yuko hatarini kuadhibiwa tena endapo itathibitika kuwa alimvua kofia ya balagashia, Mbunge wa Ulanga, Goodluck Milinga (CCM) ndani ya ukumbi wa Bunge.

Wiki iliyopita, Bunge lilimpa adhabu ya kutohudhuria vikao vitatu mfululizo  na kukatwa mshahara   na posho zote anazozipata katika siku hizo ambazo hatahudhuria vikao vya Bunge, kuanzia Juni 17 hadi 22 mwaka huu.

Hali hiyo ilijitokeza siku ambayo mbunge huyo alikuwa...

 

2 years ago

Mtanzania

Kashfa ya UDA yaibuka tena bungeni

bunge

Na Bakari Kimwanga – DODOMA

MZIMU wa sakata la uuzwaji wa hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), umeibuka upya bungeni jana, huku Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), akitangaza kuwasilisha hoja binafsi ya kuomba kuundwa Kamati Teule ya Bunge.

Akichangia bungeni mjini hapa jana, Mdee alisema taarifa za kamati za kudumu za Bunge – Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja na ile ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na yeye kama Mjumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri...

 

2 years ago

Mwananchi

Lowassa, Sumaye wazua jambo bungeni

Dodoma. Mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye jana waliibua hamasa wa aina yake mjini hapa wakati walipotinga bungeni kwa mara ya kwanza tangu wajiondoe CCM na kujiunga na Chadema.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani