Ni Yanga ya kimataifa

YANGA inaleta heshima kwa Watanzania. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF CC), ambapo Yanga imeingia hatua ya makundi ya mashindano hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Yanga yafikiria kimataifa 2016

Baada ya kufanya usajili wa dakika za mwisho kwa mshambuliaji Paul Nonga na kiungo Issofou Boubacar ‘Diego’ raia wa Niger, Yanga imeanza harakati wa kujiandaa na mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani.

 

3 years ago

BBCSwahili

Yanga yajifua kimataifa zaidi

Baada ya kupata tiketi ya kucheza katika michuano ya Kombe la Washindi barani Afrika,Yanga wanaboresha kikosi chao kimataifa.

 

9 months ago

Mwananchi

Usajili wa Yanga wa kimataifa zaidi

Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Yanga, Hussein Nyika amesema klabu hiyo imefanya usajili madhubuti wenye lengo la kuhakikisha wanafanya vizuri kimataifa.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga sasa wawazia kimataifa zaidi

YANGA inaongoza Ligi Kuu Tanzania Bara, hali inayompa kiburi Katibu Mkuu wa klabu hiyo kusema kuwa sasa wanajipanga kimataifa zaidi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa kimataifa wa Yanga waanza mazoezi

Wachezaji wa Yanga wa kimataifa wamewasili, kujiandaa na michuano ya kitaifa na kimataifa.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Azam, Yanga zianze mikakati ya kimataifa

MSIMU wa Ligi Kuu ya Tanzania bara 2013/14, umefikia tamati Jumamosi iliyopita kwa timu ya Azam kubeba ubingwa kwa mara ya kwanza tangu walipoanzisha Juni 24, 2007. Mbali ya ubingwa...

 

2 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam waamue sasa kimataifa

CCNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

MATARAJIO makubwa ya Watanzania ni kuona siku moja timu zao zinazopata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa zinafanikiwa.

Hatua hiyo inaambatana na imani kwamba hakuna kinachoshindikana kwenye soka, kwa kuwa mwamuzi wa mwisho ni dakika 90.

Tanzania kwa sasa inawakilishwa na Yanga na Azam katika michuano ya kimataifa, Azam imeinyakua nafasi hiyo kwa Simba baada ya kuleta mapinduzi makubwa katika soka la Tanzania, kwani awali ilikua ni Yanga na Simba ndio...

 

2 years ago

Mwananchi

Ubora, udhaifu Yanga, Azam kimataifa

Wakati Yanga na Azam zikijiandaa kukabiliana na vigogo vya soka Afrika kutoka kaskazini mwa bara hilo mwezi ujao, timu hizo zitabebwa au hata kuangushwa na washambuliaji, safu zao za ulinzi zinazohitaji marekebisho makubwa.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani