Nimeipata video yote Rais Magufuli alivyokwenda benki kuu bila kuwataarifu na maswali aliyowauliza

bot

March 10 2016 Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alikwenda kwenye benki kuu ya Tanzania kwa kushtukiza, baada ya kufika ikabidi akae kuongea na wahusika kuhusu ishu mbalimbali, tazama hii video hapa chini.. ULIKOSA KUONA JINSI RAIS MAGUFULI ALIVYOMTEMBELEA MGONJWA MAALIM SEIF HOTELINI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post Nimeipata video yote Rais Magufuli alivyokwenda benki kuu bila kuwataarifu na maswali aliyowauliza appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Dewji Blog

Rais Magufuli atinga Benki ya CRDB bila taarifa

Rais John Magufuli amezua mjadala baada ya kuvamia tawi la CRDB (Holland Branch), akiwa kwenye gari namba T 182 DFQ huku likiwa halina nembo ya “Adamu na Hawa” wala bendera ya Rais.

Tukio hilo lililochukuwa dakika 25, limetokea majira ya asubuhi jijijni Dar es Salaam katika tawi hilo ambalo liko katika makutano ya barabara za Ohio na Samora, bila kutarajiwa.

Mara baada ya Rais Magufuli kufika katika eneo liliko tawi hilo, makutano ya barabara hizo yalifungwa ndipo Rais aliposhuka kwenye gari...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA BENKI KUU


RAIS MAGUFULI ATEMBELEA BOT

 

1 year ago

Global Publishers

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Naibu Gavana wa Benki Kuu

Magufuli3 (1)Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua Ndugu Julian Banzi Raphael, kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.

Kabla ya uteuzi huu Ndugu Julian Banzi Raphael alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Ndugu Julian Banzi Raphael anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Juma RELI ambaye muda wake umemalizika tarehe 12 Julai, 2015.

1

 

1 year ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amuagiza Gavana wa Benki Kuu kupitisha fagio

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushutikiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa malimbikizo ya malipo ambapo tayari yalishaidhinishwa (Ex-Checker) na badala yake yarejeshwe Wizara ya Fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki.

Mpaka Rais Magufuli anatoa agizo hilo, Benki Kuu ya Tanzania ilikuwa katika mchakato wa kufanya malipo ya shilingi Bilioni 925.6,...

 

10 months ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BENKI KUU YA TANZANIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa akiwa na  Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu, na Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s salaam Mhe Paul Makonda  kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli...

 

1 year ago

Mufindiradio

Rais Magufuli kafanya tena ziara ya kushitukiza Benki Kuu ya Tanzania

Leo March 10 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa malimbikizo ya malipo ambayo tayari yalishaidhinishwa (Ex-Checker) na badala yake yarejeshwe Wizara ya fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki.

Taarifa za awali zinaonyesha kuwa Benki Kuu ya Tanzania ilikuwa katika mchakato wa kufanya malipo ya shilingi Bilioni 925.6, ambazo Wizara ya Fedha...

 

10 months ago

Michuzi

Rais Dkt. Magufuli Mgeni rasmi Maadhimisho ya miaka 50 ya Benki Kuu

Kwaya ya Benki Kuu Ikitumbuiza Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Kwaya ya Benki Kuu ikitumbuiza katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Benki Kuu, yanayofanyika hivi sasa katika ukumbi wa BoT. Jijini Dar es salaam.

 

9 months ago

MillardAyo

VIDEO: Rais Magufuli kuipeleka serikali yote Dodoma

SSSSS

Moja ya headline zilizotawala leo July 23 2016 kwenye vyombo vya habari ni pamoja na hii ya  Rais John Pombe Magufuli kukabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika. Katika hotuba yake Rais […]

The post VIDEO: Rais Magufuli kuipeleka serikali yote Dodoma appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani