NINACHOKIAMINI : Simba, Yanga, Azam bado safari ndefu kimataifa

WATANZANIA wanajua kila kitu, wanaweza kujadili kila kitu. Wanazungumza sana kuliko kutenda, wanaamini wanajua, lakini katika vitendo huwezi kuwaona, hubaki nyuma wakishangaa.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Safari bado ni ndefu - Msama

Mtu yeyote anapoanzisha jambo fulani huwa na msukumo uliosababisha kulianzisha. Lakini linaweza kukua na kuwa kitu kikubwa ikiwa ataweka nguvu bila kukata tamaa pindi anapokutana na changamoto wakati wa utekelezaji wa wazo lake.

 

3 years ago

Habarileo

Safari bado ndefu- Pluijm

KOCHA wa Yanga, Hans van Pluijm amesema anasahau matokeo yaliyopita katika mechi dhidi ya Simba na wanajipanga upya kwani safari bado ndefu. Yanga na Simba zilikutana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kutoka sare ya bao 1-1.

 

4 years ago

Raia Mwema

Safari bado ndefu kuelekea Ikulu

KWANZA ninaomba radhi kwa safu hii kuadimika kwa takriban wiki mbili mfululizo.

Evarist Chahali

 

4 years ago

Mwananchi

Safari ya mafanikio ya soka bado ndefu

Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa haifanyi vizuri katika mashindano ya kimataifa iwe timu ya Taifa au klabu zinazotuwakilisha katika mashindano ya Afrika.

 

5 years ago

Mwananchi

KILIMO: Safari ya mafanikio bado ni ndefu Tanzania

Kilimo ni sekta inayoajiri zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania. Hata hivyo bado ukuaji wake ni wa chini ukilinganisha na sekta nyingine kama vile madini, mawasiliano na uchukuzi.

 

4 years ago

Mwananchi

Safari bado ndefu kwa KKK na mpango wa BRN

Hivi karibuni mpango wa Uwezo uliopo chini ya asasi ya kiraia ya Twaweza, umetoa ripoti yake ya nne ikiwa ni mfululizo wa ripoti zake zenye kichwa kinachouliza je, watoto wetu wanajifunza?

 

4 years ago

Bongo Movies

Vihoja Kutoka Bongo Movies: Safari Bado ni Ndefu!

Ukisikia kuigiza watu wanaigiza mpaka mavazi.ukimwona kwa mbele kwenye camera Yuko smart! Hii ilikuwa katika shooting . scene mojawapo ya bongo Movies.

By Natasha Mamvi

 

3 years ago

Mwananchi

MAONI: Hongera Flaviana bado una safari ndefu

Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata, amezindua bidhaa yake ya kucha, akiwa ni mwanamke wa kwanza kujiingiza kwenye biashara hiyo nchini.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani