Ninja aanza vibaya Yanga

Beki kisiki aliyesajiliwa hivi karibuni na klabu Yanga akitokea Taifa Jang’ombe ya hapa visiwani Zanzibar, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’, leo ameianza vibaya mechi yake hiyo baada ya kushuhudia timu yake mpya ikilala kwa bao moja kwa bila mbele ya Ruvu Shooting.

Bao hilo la Ruvu Shooting lilifungwa dakika 22 baada ya Ninja kujifunga wakati akijaribu kuokoa krosi ya Shalla Juma kutoka upande wa kushoto wa uwanja na kuipa bao la kuongoza na la ushindi kwa Ruvu Shooting. Baada ya mechi ya leo, Yanga SC inatarajiwa kumenyana na Mlandege ya hapa visiwani Zanzibar katika uwanja wa Amani kesho usiku. Yanga SC inatarajiwa kuelekea kisiwani Pemba siku ya Jumatatu kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba Agosti 23 Uwanja wa Taifa.

The post Ninja aanza vibaya Yanga appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Jabu aanza vibaya Ashanti

>Beki wa kushoto wa Ashanti United, Juma Jabu ameanza kibarua kwa mikosi baada ya kuumia bega, ambapo atalazimika kukaa nje ya uwanja wiki moja.

 

6 months ago

Zanzibar 24

Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes, Ninja wa Yanga ndani

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes),Hemed Suleiman (Morocco) ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya maandalizi ya kujiandaa ma Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 hadi Disemba 9, 2017 nchini Kenya. WALINDA MLANGO Ahmed Ali “Salula” (Taifa ya Jang’ombe) Nassor Mrisho (Okapi) Mohammed Abdulrahman “Wawesha” (JKU) WALINZI Abdallah Haji “Ninja” (Yanga) Mohd Othman Mmanga (Polisi) Ibrahimm Mohammed “Sangula” (Jang’ombe Boys) Adeyum...

 

3 years ago

BBCSwahili

Kobe Bryant aanza vibaya NBA

Mchezaji nguli wa mchezo wa kikapu Nchini Marekani Kobe Bryant amerejea vibaya katika kikosi chake cha LA Lakers.

 

11 months ago

BBCSwahili

Azarenka aanza vibaya michuano ya tenesi ya Mallorca

Mcheza tenesi Victoria Azarenka amerejea vibaya uwanjani baada kushindwa kutamba mbele ya Mjapani Risa Ozaki, na ukiwa ndio mchezo wa kwanza kwa Azarenka baada ya kuwa nje ya mchezo kwa muda wa mwaka mmoja.

 

5 months ago

Zanzibar 24

Kikosi cha Zanzibar Heroes dhidi ya Libya, Wachezaji 8 wapya akiwemo Ninja wa Yanga

Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar dhidi ya Libya katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 08:00 za mchana.

ZANZIBAR HEROES

1.  Ahmed Ali (Salula) 1

2.  Mohd Othman Mmanga 6

3.  Haji Mwinyi Ngwali 16

4.  Abdullah Haji (Ninja) 5

5.  Issa Haidar Dau (Mwalala) 8 (Captain)

6.  Abdul azizi...

 

4 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: BILELE 1 vs RWAMISHENYE 3, BINGWA MTETEZI AANZA VIBAYA!! ACHAPWA NA WANA BODABODA RWAMISHENYE FC!

Hapa hukatizi ndugu yangu!Wachezaji wa Timu ya Rwamishenye wakicheza muziki baada ya kusawazishaMashabiki ndio usiseme...walijaa uwanjani KaitabaMashabiki kibao. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

2 years ago

Mtanzania

Yanga yawakimbiza vibaya Waarabu

Untitled-2JUDITH PETER NA THERESIA GASPER, DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga wanakutana na miamba ya soka barani Afrika, Al Ahly kwenye hatua ya 16 bora, huku wakionekana kuwazidi katika idara ya ushambuliaji kutokana na wingi wa mabao Wanajangwani hao waliyonayo.

Kwa kulinganisha viwango vya soka vya timu hizo, Al Ahly wamewazidi kwa mbali Yanga kutokana na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika mara nane huku Yanga wakiwa hawana historia ya kunyakua taji...

 

1 year ago

Mwanaspoti

Waarabu waipuuza Yanga vibaya

YANGA na MC Alger zinacheza Aprili 8 kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi ya kwanza ya mtoano wa Kombe la Shirikisho kuelekea hatua ya makundi ya michuano hiyo.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya

UTEUZI  wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani