Nitaendelea kufanya shughuli za kuisaidia jamii - JK

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa anapenda kuendelea kufanya shughuli zinazosaidia kuleta maendeleo kwa watu na jamii.
Akizungumza na waandishi wa habari  leo Jijini Dar es salaam, wakati alipokuwa  akizindua Taasisi yake ya Jakaya Kikwete (Jakaya Mrisho Kikwete Foundation)  alisema kuwa kwa muda mrefu amekua akipenda na kujihusisha na shughuli mbalimbali za maendeleo ya watu na hivyo Taasisi yake itamsaidia katika kufikia malengo yake.“Nimetumia muda wangu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

“Nitaendelea kufanya shughuli za kuisaidia jamii”- Jakaya Kikwete

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa anapenda  kuendelea kufanya shughuli zinazosaidia kuleta maendeleo kwa watu na jamii. 

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam, wakati  alipokuwa akizindua Taasisi yake ya Jakaya Kikwete (Jakaya Mrisho Kikwete  Foundation) alisema kuwa kwa muda mrefu amekua akipenda na kujihusisha na  shughuli mbalimbali za maendeleo ya watu na hivyo Taasisi yake itamsaidia  katika kufikia malengo yake. 

Nimetumia muda...

 

4 years ago

Bongo5

Nitaendelea kufanya muziki Professor Jay

Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasaMbunge mteule wa Mikumi kipitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Haule aka Professor Jay, amesema ataendelea kufanya muziki hata akiwa bungeni kwa sababu ndio kitu kilichomfikisha hapo alipo. Professor amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa ataendelea kukiheshimu kipaji chake licha ya kupata tiketi ya kuingia bungeni. “Muziki niliokuwa nikiufanya na ninaoendelea kuufanya ni sauti […]

 

4 years ago

Bongo5

Nitaendelea kufanya Hip Hop hata kama itanilipa au haitanilipa Stamina

StaminaTumeshuhudia wasanii wengi wa muziki wakibadilika kutoka kwenye aina ya muziki waliokuwa wakifanya na kuhamia kwenye aina nyingine kwa sababu za kibiashara. Rapper Stamina amesema kamwe biashara haiwezi kuja kumbadilisha kutoka kwenye muziki wa Hip Hop anaofanya na kuhamia kuimba au mtindo mwingine wowote. “Mi hizi habari za muziki wa biashara sitaki hata kuzisikia,” Stamina […]

 

5 years ago

Bongo5

Chege: Nitaendelea kufanya video na directors wa Bongo mpaka watu waelewe

Msanii wa muziki kutoka TMK, Chege Chingunda amesema ataendelea kufanya video na waongozaji wa ndani pamoja na watanzania kushindwa kuthamini video za wasanii zinazotengenezwa na waongozaji hao wa nyumbani. Chege ameiambia Bongo5 kuwa hata Nigeria ambao wanaonekana wapo juu barani Africa, walianza kujulikana ndani ya nchi yao baada ya wananchi wao kuwasupport ndipo walipopata fursa […]

 

5 years ago

Tanzania Daima

SUMATRA yatenga mil. 50/- kuisaidia jamii

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), ndani ya mwaka huu imetenga sh milioni 50 kusaidia mahitaji mbalimbali ya kijamii. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Ahmed...

 

2 years ago

Bongo5

Diamond amwaga mamilioni kuisaidia jamii

Kumbe Diamond sio wa mchezo. Hivi ndio vitu ambavyo amejitolea kusaidi jamii mpaka sasa.

Hilo limekuja baada ya shabiki mmoja kuandika ujumbe ambao ulionekana kumgusa muimbaji huyo. “……100m Kwenye shingo…huku watu wana ishu nashida atleast wasaidie watu kwenye maeneo mabaya,” alicomment shabiki huyo kwenye picha hiyo hapo chini.

Naye Diamond alimjibu kwa kuandika, ““…..nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, misikiti miwili mmoja Morogoro pia nyingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AWATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUAMSHA ARI YA JAMII KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW.
Serikali imewataka Wataalam wa Maendeleo ya Jamii kurejesha ari na hamasa ya jamii kushiriki katika kazi za maendeleo ili kutoa mchango katika kufikia Tanzania ya Viwanda na yenye uchumi wa kati.
Kauli hii imetolewa MJini Dodoma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 12 wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii unafoanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
Mhe. Ummy Mwalimu  amesema kuwa...

 

2 years ago

Michuzi

WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII WAJADILI MBINU ZA KUIMARISHA ARI YA JAMII KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akitoa mada kwa wataalam wa Maendeleo ya Jamii kuhusu kuamsha ari ya wananchi kushiriki shughuli za maendeleo yao katika Mkutano Kazi wa mwaka unaofanyika Chuo cha Mipango mkoani Dodoma.Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Bi. Magreth Mussai akiwasilisha mada ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto wakati wa Mkutano Kazi wa Mwaka wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii Unaofanyika Chuo cha Mipango Dodoma.Kaimu...

 

4 years ago

Vijimambo

UNODC KUISAIDIA ZANZIBAR KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA KWA JAMII

Kiongozi wa ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, Jose Vila Del Castillo akimsikiliza kwa umakini Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad alipofika ofisini kwake Migombani.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) limesema litafanya tathmini ya kina kupata njia muafaka za kuisaidia Zanzibar kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii. 

Hayo yamesema...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani