Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili,
YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Lukaku agoma kusaini mkataba mpya Everton

Mshambuliaji wa klabu ya Everton, Romelu Lukaku amekataa mkataba wenye faida kubwa kwake katika historia ya klabu hiyo.

Klabu ya Everton ambayo inashiriki ligi ya Uingereza ilikuwa na matumaini kwamba mchezaji huyo raia wa Ubelgiji ataongeza mkataba mwingine wa miaka mitano inayoaminika kugharimu pauni 140,000 kwa wiki.

Agenti wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, Mino Raiola alisema kuwa mteja wake alikuwa na uwezekano wa asilimia 99.9 kusaini mkataba mpya katika uwanja wa Goodison...

 

3 years ago

Bongo5

Steven Gerrard agoma kusaini mkataba mpya na LA Galaxy

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ametangaza kuwa hata saini mkataba mpya na timu yake ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani.

steven-gerrard

Gerrard (36) alijiunga na Galaxy mwaka 2015 na amefunga magoli matano kati ya mechi 34 alizocheza katika misimu yake miwili akiwa na timu yake hiyo huku mkataba wake ukitarajiwa kumalizika mwezi ujao.

“Kwa hakika si mwisho wa maisha yangu katika soka” amesema Gerrard. “Sasa natizamia kwenda nyumbani...

 

3 years ago

Global Publishers

Simba, Azam zamzuia Yondani kusaini mkataba mpya yanga

YONDANIBeki tegemeo wa timu ya Yanga, Kelvin Yondani.

KAMATI ya Usajili ya Yanga, imestopisha mazungumzo yake na beki tegemeo wa timu hiyo, Kelvin Yondani kuhusu kumuongezea mkataba mpya utakaomwezesha kubaki klabuni.
Sababu kubwa ya kusitisha mazungumzo hayo imeelezwa kuwa ni kuweka umakini zaidi katika kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambao pia unawaniwa na Azam FC na Simba.

 
Mabosi wa Yanga wameona haitakuwa busara kumchanganya Yondani aliyetua klabuni hapo msimu wa 2010/11 kutoka Simba, kwa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Beki Banda agoma kusaini mkataba Simba kisa ajiunge na Chipa United, Bidvest za Afrika Kusini

Beki wa Simba na Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Abdi Banda amesema huenda asirudi nchini atakapoenda Afrika Kusini kushiriki mashindano ya Kombe la Cosafa.

 

4 years ago

Michuzi

MRISHO NGASSA ATUMISHA MSULI, AGOMA KUSAINI YANGA!


Mrisho Ngassa amegoma kusaini mkataba mpya na Yanga mpaka uongozi utakampomlipa deni lake la Sh45 milioni, akidai kwamba uongozi wa Yanga ulimuhadaa akope fedha zake benki ya CRDB ili ailipe Simba kwa kile walichomuadi kumlipia deni hilo. 

"Yanga wasipotoshe ukweli...wao waliniambia nikope fedha, watalipa. Matokeo yake wananikata mshahara wangu wote, nimegoma kusaini ndiyo! Mpaka wanilipe deni langu Sh45 milioni wakishanilipa nitakubali kukaa mezani tujadili mkataba mpya."alisema...

 

3 years ago

Global Publishers

Yanga yavunja mkataba na Niyonzima

NIYONZIMANEW4Haruna Niyonzima. Klaubu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti kambini na kutoipa kipaumbele klabu yake. Nahodha huyo wa Rwanda alichelewa kurejea kwenye klabu yake mara baada ya kumalizika kwa fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CEFAFA Challenge Cup) iliyofanyika nchini Ethiopia. Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari...

 

4 years ago

BBCSwahili

Sergio Busquet Kusaini mkataba mpya.

Kiungo mahiri wa klabu ya Barcelona Sergio Busquets anatarajia kuongeza mkataba na miamba hao wa soka wa Hispania.

 

5 years ago

BBCSwahili

Van Persie kusaini mkataba mpya

Mshambulizi wa Manchester United Robin van Persie amesema kuwa yuko tayari kuongeza muda wa mkataba wake na Man United

 

3 years ago

Bongo5

Jamie Vardy akubali kusaini mkataba mpya na Leicester

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester na Uingereza Jamie Vardy hatimaye amekubali kusain mkataba mpya na Leicester.

jamie_vardy_leicester_city_wallpaper_by_fbwallpapershd-d9vapjv

Leicester imesema kuwa mchezaji huyo mwenye miaka 29 ambaye ali isaidia klabu yake kushinda taji la ligi ya Uingereza msimu uliopita ameongeza mkataba wa miaka minne na klabu hiyo.

”Pande zote mbili zinatumai tangazo hilo litamaliza uvumi wa hivi karibuni kuhusu hatma ya Jamie”,taarifa ya klabu imesema.

Vardy alitarajiwa kununuliwa na klabu ya Arsenal kwa kitita cha pauni milioni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani