NJE YA SOKA UNDUGU UENDELEE: WANA YANGA WAMCHANGIA HAJI MANARA

Wanachama na mashabiki wa Yanga, usiku wa jana walikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Timu ya Simba, Haji Manara na kukabidhi mchango wao kwa ajili ya matibabu. Wanayanga hao waliongozwa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro walimkabidhi Manara kiasi ya Sh 1,055,000 kama mchango wao. 
Wiki iliyopita, Manara aliamka na kujikuta jicho la kushoto halioni. Hivyo anatarajiwa kupelekwa India kwa ajili ya matibabu na safari yake huenda ikawa Jumamosi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Yanga wamchangia Manara fedha za matibabu

manara

Sweetbert Lukonge,

Dar es Salaam

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara, hivi karibuni alipata matatizo ya macho baada ya jicho lake moja kupoteza uwezo wa kuona, wakati akiendelea na matibabu, wanachama wa Yanga wameamua kumchangia fedha za matibabu katika kile walichodai kuonyesha michezo siyo uadui.

Wanachama hao wameongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro ambaye alithibitisha juu ya mchango huo kwa kusema kuwa wamefikia uamuzi huo kutokana na kuguswa zaidi...

 

2 years ago

Michuzi

WANA SIMBA ZIPUUZENI POROJO NA HEKAYA ZA HOVYO - HAJI MANARA


Na Haji Manara
Najiamkia asubuhi nikiwa bukheri wa afya, huku nikiwa nimepata mapumziko mazuri ya weekend, sanjari na kupata fursa ya kuwajulia hali ndugu zangu wa Kariakoo na kuhudhuria mikutano ya kidini na maulid Jumapili hii kule Msaasani kwa swahiba wangu Zingizi.
Kama ilivyo ada baada ya kufanya mazoezi kidogo na kuunyosha mwili napitia taarifa za magazeti ya leo kwenye television...Napatwa butwaa tena kuona porojo zimetamalaki katika  baadhi ya magazeti.Yapo yalioandika kuhusu Daniel...

 

2 years ago

Channelten

Haji Manara atupwa jela ya soka, Afungiwa miezi 12 na Faini ya Sh. Milioni 9

Manara

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff imemuhukumu msemaji wa klabu ya soka ya Simba Haji Manara adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu kwa muda wa miezi 12, pamoja na faini ya shilingi milioni tisa kufuatia kuhusishwa kwake na madai ya kulitolea lugha ya uchochezi shirikisho hilo na madai ya kuhusika na rushwa.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumailizika kikao cha kujadili makosa ya msemaji huyo wa Simba Makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo Wakili...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Haji Manara aiwakia Yanga

WAKATI ikichanganywa na mgomo wa nyota wao, viongozi wa Yanga wamewekwa kwenye hali ngumu baada ya watani zao, Simba kuwakomalia wakitaka walipwe fedha zao Sh 50 milioni zikiwa ni fidia ya beki Hassan Kessy.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Bosi Yanga amfutia kesi Haji Manara

SIMBA wana kila sababu ya kufurahia taarifa hii baada ya Msemaji wao, Haji Manara, aliyekuwa kifungoni sasa kufunguliwa na Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF).

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA JERRY MURO BAADA YA TFF KUMFUNGIA HAJI MANARA KUTOJIHUSISHA NA MAMBO YA SOKA MWAKA MMOJA

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia Haji Manara (Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba) kutojihusisha na masuala ya soka kwa mwaka mmoja na pia anatakiwa kulipa faini ya Shilingi  Milioni tisa.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu, Jerome Msemwa amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya Manara kukutwa na makosa matatu dhidi ya TFF ambao ni walalamikaji.
Makosa hayo ya Manara dhidi ya mlalamikaji TFF ni kuituhumu na kuidhalilisha TFF, kueneza...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara baada ya kuwachapa Yanga bao 1-0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.

Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya ‘Kariakoo Derby’ kumalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam huku timu yake ikiwa imetoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa ndani ya dakika 38 kupitia Erasto...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani