NMB YASAIDIA MADAWATI SHULE MBILI ZA MSINGI JIJINI DAR.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakifurahia mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

NMB yasaidia madawati shule mbili za msingi Dar‏

IMG_0169Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.IMG_0121Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya Banki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya...

 

3 years ago

Global Publishers

NMB yasaidia madawati 50 Shule ya Msingi Majimatitu

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Salum Upunda ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Salum Upunda (kushoto) ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 kwa Shule ya Msingi Majimatitu yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya...

 

3 years ago

Michuzi

NMB yasaidia madawati 50 katika Shule ya Msingi Majimatitu.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Salum Upunda ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Salum Upunda (kushoto) ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 kwa Shule ya Msingi Majimatitu yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.Kikundi cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule hiyo. Kikundi cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule hiyo.Wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu wakisoma risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu wakisoma risala...

 

3 years ago

Global Publishers

NMB yakabidhi madawati Shule ya Msingi Mtibwa

1
Meneja wa Tawi la NMB Turiani akikabidhi madawati kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Mtibwa – Enock Kagonji huku mwanafunzi wa darasa la sita Nasma Seif akishuhudia tukio hilo.

4

Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki – Nazaret Lebbi akikata utepe kuashiria kuanza kwa matumizi ya madawati yaliyokabidhiwa na NMB kwa Shule ya Msingi Mtibwa.

2
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtibwa wakiwa wamekalia madawati waliyopewa na NMB.

Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa shule...

 

4 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI KISEKE

Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiseke - Elias Sita anaye soma darasa la Nne, akifurahi pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Bw. Waziri Barnabas baada ya shughuli ya makabidhiano ya madawati shuleni hapo. Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

3 years ago

Global Publishers

NMB Yamwaga Madawati 730 Kwa Shule Za Msingi, Kiomboi

MNEJA WA NMB KANDA YA KATI AKIMKABIDHI MKURUNGENZI IRAMBA MADAWATIMeneja wa NMB Kanda ya Kati (kulia) akikabidhi madawati kwa Mkurugenzi Wilaya ya Iramba.WANAFUNZI SHULE YA KIOMBOI BOMANI WAKIWA WAMEKALIA MADAWATIWanafunzi wa Kiomboi Bomani wakiwa wamekalia madawati.WANAFUNZI WAKIPOKEA MADAWATI. 2jpgWanafunzi wakipokea madawati.

NMB imekabidhi madawati 730 yenye thamani ya shilingi milioni 75 kwaajili ya shule za msingi 15 zilizopo wilayani Kiomboi – Singida huku kila shule ikipata madawati 50.

Msaada huo ni moja ya ushiriki wa benki katika maendeleo ya jamii na hivyo kuhakikisha kuwa jamii inayoizunguka benki hiyo inafaidika kutokana na faida...

 

4 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar

Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Hali Hatarishi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Nicholaus Paul (wa nne kushoto) akikata utepe kuashiria makabidhiano ya msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 3 yaliyotolewa na wafanyakazi wa kitengo cha mikopo ya makampuni cha benki hiyo kwa Shule ya Msingi Maweni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni, Sylvester Roche, Mwalimu...

 

3 years ago

Michuzi

DCB WATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KATIKA SHULE YA MSINGI MSUFINI JIJINI DAR LEO.

DCB Commercial Bank wametoa Msaada wa Madawa 100 kwa shule ya Msingi Msufini iliyopo Kata ya Chamanzi Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Akizungumza katika Hafla Fupi ya Kukabidhi madawati katika shule hiyo jijini Dar es Salaam leo, Mkuu wa Mipango na Uvumbuzi wa Benki ya DCB, Samwel Dyamo amesema kuwa benki hiyo imeunga mkono jitihada ya serikali katika upungufu wa Madawati shuleni benki hiyo imetoa madawati 100 kwa Manispaa ya Temeke katika shule ya Msingi Msufini.
Na Meya wa...

 

3 years ago

Michuzi

DCB BANKI WAKABIDHI MADAWATI 100 KATIKA SHULE YA MSINGI KIMARA B JIJINI DAR ES SALAAM.

BENKI ya DCB benki yakabdhi madawa 100 katika shule ya Msingi Kimara B iliyopo wilaya Mpya ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.
Makabidhiano hayo yamefanyika kati ya Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo na baadae Mkuu wa Shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam.
DCB banki ikiwa ni awamu ya mwisho ya ugawaji wa madawati katika wilaya tatu za jijini la Dar es Salaam.Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akikata utepe...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani