NMB yatoa msaada wa kompyuta 250 kwa shule za msingi na sekondari nchini

Benki ya NMB imeendelea kusaidia kukuza elimu nchini kwa kutoa msaada wa kompyuta 250 ambazo zitagawiwa kwa shule za msingi na sekondari nchini ikiwa ni siku sita tangu ilipotoa msaada wa madawati 3,500 kwa shule 71 nchini.

Akizungumza wakati wa halfa ya kukabidhi msaada huo iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker alisema msaada huo ni sehemu ya mpango ambao NMB imeuweka wa kusaidia jamii (CSR) na kupitia msaada...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV.
Meneja Masoko Mwandamizi wa...

 

1 year ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA KOMPYUTA 10, MEZA PAMOJA NA VITI SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV. 2Meneja Masoko...

 

5 years ago

Dewji Blog

Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania

access 1  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. aces

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...

 

5 years ago

GPL

ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA‏

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...

 

2 years ago

Michuzi

Bayport yatoa kompyuta nne kwa shule za Msingi Dodoma Mjini

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mvunde (kulia) akipokea msaada wa Kompyuta Nne kwa Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha Bayport Tanzania, Ngula Cheyo mjini Dodoma leo asubuhi. Kushoto ni Meneja wa Kanda ya Kati wa taasisi hiyo, Kushoto ni Meneja wa Kanda ya Kati wa taasisi hiyo, Christopher Kihwele.


Na Mwandishi Wetu, Dodoma

TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, jana imemkabidhi kompyuta nne Naibu Waziri wa Vijana, Kazi na Ajira, Mheshimiwa Anthon...

 

4 years ago

Vijimambo

Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili

- Waliguswa na wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa chini- Meya Silaa apokea vifaa hivyo na kutaka wengine kuiga mfano wa RWG- Shule bado ina upungufu wa madawati 100, - Vyumba 7 zaidi vya madarasa vyahitajika na matundu 24 ya vyoo- Shule pia haina nyumba hata moja ya mwalimuMeya wa Manispaa ya Kinondoni, Jerry Silaa, amewataka Watanzania kwa ujumla kuacha mambo ya siasa katika masuala ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na kulalamika bila kushiriki kuisaidia serikali yao.Ameyasema hayo wakati...

 

2 years ago

Michuzi

MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE, (UCSAF), WATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE MKOANI PWANI

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, (UCSAF), Joseph Kilongola, (wakwanza kushoto-mbele), Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko huo, Mhandisi Peter Ulanga, (wakwanza kushoto-nyuma), wakishuhudia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (anayeshughulikia sekta ya Mawasiliano), Profesa Faustine Kamuzora, (mwenye tai nyekundu), Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete, (wakwanza kulia), Diwani wa Kata ya Bwilingu, Lucas Lufunga, (wane kulia), na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tigo na Huawei zatoa msaada wa Kompyuta 10 na huduma ya Intaneti kwa Shule ya msingi Chuda Mkoani Tanga

8

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akikabidhi msaada wa Kompyuta zenye intaneti ya bure ya Tigo kwa  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Chuda Mkoani Tanga Bw. Omari Masukuzi hiyo ni moja kati ya kompyuta 10 zilitolewa na kampuni ya Tigo pamoja na Huawei kwa shule hiyo. Wanaoshuhudia wa pili toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula, Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Huawei  Jin Liguo na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Abdallah Suleiman.

7

Wanafunzi...

 

2 years ago

Michuzi

NMB yatoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi Shule ya Msingi Wailes

Ofisa wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Latifa Ayoub Dadah (kushoto) akimkabidhi mpira wa miguu mmoja wa viongozi wa michezo wa Shule ya Msingi Wailes kwa ajili ya shule hiyo. Mpira huo umetolewa na Benki ya NMB kama zawadi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Wailes mara baada ya elimu ya masuala ya fedha na akiba iliyotolewa na benki hiyo. Wa kwanza kusho to ni Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Msingi Wailes, Zabibu Wasia akishuhudia. Ofisa wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Latifa Ayoub Dadah...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani