Nottingham yaitupa nje ya kombe la Fa Arsenal

Bingwa mtetezi wa michuano ya kombe la Fa klabu ya Arsenal imeondolewa katika michuano hiyo kwa kuchapwa 4-0 na Nottingham Forest

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Kinadada wa Arsenal watupwa nje Kombe la FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA la Wanawake nchini Uingereza, Kinadada wa Arsenal, wametupwa nje ya michuano ya mwaka huu.

 

3 years ago

BBCSwahili

Perez afungia Arsenal ushindi dhidi ya Nottingham

Lucas Perez alifungia klabu ya Arsenal mabao yake ya kwanza na kuwasaidia Gunnerskupata ushindi mkubwa dhidi ya Nottingham Forest na kufika raundi ya nne Kombe la Ligi Uingereza (EFL).

 

3 years ago

BBC

Armand Traore: Nottingham Forest sign former Arsenal and QPR defender

Nottingham Forest sign former Arsenal and Queens Park Rangers defender Armand Traore on a three-year deal.

 

3 years ago

BBCSwahili

West Ham yaitupa nje Liverpool

West Ham United imewatupa nje Majogoo wa Anfield Liverpool katika mchezo wa raundi ya nne ya kombe la FA.

 

3 years ago

BBCSwahili

CAF yaitupa nje Entente Setif ya Algeria

Wawakilishi wa Algeria katika kinyang'anyiro cha kuwania ubingwa wa vilabu barani Afrika, Klabu ya Entente Setif wamebanduliwa nje ya mashindano hayo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Sare yaitupa nje Yanga Mabingwa Afrika

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga SC imejikuta ikitolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuangukia kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya sare ya 0-0 na Zanaco FC kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa uliopo mjini Lusaka Zambia.

Matokeo hayo yanamaanisha Yanga inatolewa kwa bao la ugenini, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Zanaco FC wametinga hatua ya Makundi na...

 

1 year ago

BBCSwahili

Bristol City yaitupa nje ya michuano Man United

Klabu ya Bristol City, imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Carabao kwa kuwaondosha mabingwa watetezi wa michuano hiyo klabu ya Manchester United

 

1 year ago

BBCSwahili

Sevilla yaitupa nje Man Utd michuano ya UEFA

Manchester United wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora baada ya kuonyesha kiwango kibovu mbele ya Sevilla na kukubali kichapo cha 2-1 Old Trafford.

 

4 years ago

BBCSwahili

Man U yatolewa kombe la FA na Arsenal

Timu ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa jumla ya mabao 2 - 1.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani