NRA YATOA POLE KWA WAFIWA NA WAKAZI WA ARUSHA KWA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA JANA

KATIBU MKUU wa chama cha National  Reconstruction Alliance (NRA) Hassan Almas Kisabya (pichani kulia) ametoa pole kwa wafiwa,wakazi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla kutokana na msiba mkubwa uliotokea Leo na kusababisha vifo vya wanafunzi   huko Karatu.Akiongea na wanahabari ofisini kwake, Almas amesema,NRA wamepokea kwa mstuko taarifa hiyo ya ajali na vifo vya wanafunzi ambao ni nguvu kazi ijayo ya Taifa letu.Kwa niaba  ya NRA, Almas amewataka wazazi ,Ndugu ,jamaa ,wana Arusha na watanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

4 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA NRA KWA WAKAZI WA MKOA WA KIGOMA KWA AJALI YA BOTI


Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU MKUU WA BODI ya CHAMA CHA UJENZI WA TAIFA, NRA (NATIONAL RECONSTRUCTION ALLIANCE), Mhe HASSAN KISABYA ALMAS, ametoa pole kwa wananchi wa mkoa wa kigoma na Uongozi Mzima wa mkoa kwa msiba mzito uliowapata baada ya watu zaidi ya kumi kupoteza maisha kwa ajali ya boti.Ndugu Kisabya alisema, ajali ni jambo lisilotarajiwa na kuwataka ndugu jamaa na marafiki waliopoteza jamaa zao kuna na uvumilivu...

 

4 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI ILIYOTOKEA KIKATITI JIJINI ARUSHA JANA

Mwili wa mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mmiliki wa hoteli na klabu ya AQ baada ya ajali. Basi la Mrindoko Trans baada ya ajali hiyo.…

 

4 years ago

Habarileo

JK atoa pole kwa wafiwa, majeruhi

RAIS Jakaya Kikwete amezifariji familia mbili zilizofiwa na ndugu zao pamoja na majeruhi 19 waliojeruhiwa kutokana na kusukumana na kukanyagana milangoni wakati wakitoka ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini hapa, baada ya mkutano mkubwa wa kampeni za urais wa mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.

 

5 years ago

GPL

WATANZANIA DMV WATOWA POLE KWA WAFIWA‏

 Watanzania wa DMV wakijumuika na wafiwa nyumbani kwa marehemu.
 Catherine Nyangole mwenye kilemba cheusi pamoja na WanDMV wakimpa pole mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera nyumbani kwa marehemu.…

 

4 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO UKONGA BANANA

Inasemekana kuwa roli hili lenye contina limeangukia hiace yenye abiria huko maeneo ya banana ukongo na kusababisha vifo vya abiria waliokuwa ndani ya hiace hiyo. Habari hii tumeipata kupitia shuuda wetu aliekuwepo eneo la tukio kwa habari zaidi zitawajia kupitia hapa hapa vijimambo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani