NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) umewashauri wajasiriamali nchini kujiunga kwenye vikundi ili kuweza kutambuliwa na kupata mikopo.

Ushauri huo umetolewa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma Rehema Chuma wakati alipokuwa akitoa mada yake kwenye Kongamano la Wajasiriamali lilifanyika jijini Dodoma.

Chuma amesema wajasiriamali hao wakiunda na kuvisajili vikundi vyao watapata mikopo kutoka NSSF ili kukuza biashara zao.Amesema mfuko huo hautaweza kumsaidia mwananchi mmoja mmoja kwani masharti ya...

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali 6,000 wasotea mikopo NSSF

Wajasiriamali ambao ni wanachama wa Vicoba mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, wamelalamikia kucheleweshewa mikopo waliyoahidiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), tangu Mei, mwaka huu.

2 years ago

Malunde

BENKI YA CRDB YATOA ELIMU YA FEDHA NA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI TINDE - SHINYANGA

Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal (CCM) akizungumza wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga.***

Benki ya CRDB leo Jumatano Septemba 20,2017 imeendesha mafunzo ya ujasiriamali,elimu ya fedha na mikopo kwa vikundi vya wajasiriamali waliopo katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga.
Mafunzo hayo yaliyokutanisha pamoja wajasiriamali zaidi ya 500 yamefanyika katika ukumbi wa Mountain View Hotel iliyopo...

4 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali wapigiwa debe kupata mikopo

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimelitaka Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) liwape mbinu wajasiriamali wadogo ili waweze kupata mikopo katika taasisi za fedha.

2 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika mkoani Dodoma, mwishoni mwa wiki.Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Hamis, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei kufungua semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya...

4 years ago

GPL

MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI

Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike
Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.
Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=
Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24 Sifa za mkopaji
.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
.uwe n...

4 years ago

Dewji Blog

Fursa ya mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi

Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike

Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.

Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=

Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24

Sifa za mkopaji

.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
.uwe n uzoefu wa biashara usiopungua
.uwe na namba ya utambulisho wa kodi (TIN)
...

4 years ago

GPL

MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI‏

Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike
Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.
Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=
Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24 Sifa za mkopaji
.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
...

3 years ago

Mwananchi

Balozi: Mikopo ya kilimo changamoto kwa wajasiriamali

Balozi wa Denmark nchini, Einar Jensen amesema wajasiriamali wa sekta ya kilimo wanapata changamoto ya mikopo kutokana na matunda ya uwekezaji katika sekta ya kilimo kuchukua muda mrefu kuzaa matunda.

3 years ago

Mwananchi

K’ndoni yazidi kumwaga mikopo kwa wajasiriamali

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kugawa fedha za mikopo kwa vikundi vya kinamama na vijana huku ikitenga Sh5 bilioni kwa mwaka mpya wa fedha wa 2016/2017 kwa ajili ya mikopo hiyo.

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani