Nyalandu ahama CCM kwa hasira za kukosa Uwaziri: Mhagama

Katibu wa CCM mkoani Singida, Jamson Mhagama amesema sababu zilizopelekea aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kuacha ubunge na kuhama kabisa CCM ni hasira za kukosa uwaziri. “Kwa maono yake ameona siasa za nchi haziendi vizuri na kuamua kwenda kusaka siasa zitakazompendeza, tunamtakia kila la kheri. Ila tunamwonya kuwa asitarajie tena kupata ubunge kupitia Chadema anakolilia kwenda, CCM itashinda kwa kishindo katika uchaguzi mdogo ujao,” alisema. “Wananchi walimwamini...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

CCM SINGIDA : NYALANDU KAHAMA CCM KWA HASIRA ZA KUKOSA UWAZIRI


Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimesema sababu zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu za kuacha ubunge hazina mashiko, isipokuwa kilichomsukuma kufikia uamuzi huo ni hasira za kukosa uwaziri.

Katibu wa CCM mkoani Singida, Jamson Mhagama alisema jana Jumatatu Oktoba 30,2017 kuwa, “Kwa maono yake ameona siasa za nchi haziendi vizuri na kuamua kwenda kusaka siasa zitakazompendeza, tunamtakia kila la kheri. Ila tunamwonya kuwa asitarajie tena kupata...

 

4 years ago

Mwananchi

Said Nkumba ahama CCM, ajiunga Chadema

Mbunge wa Sikonge, CCM, Said Nkumba ametangaza kukihama hicho na kujiunga na Chadema, kwa madai CCM ‘haina mapenzi na watu’.

 

4 years ago

GPL

MGEJA AHAMA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja. MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi punde. Mgeja ametangaza uamuzi huo wakati akaiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam amabapo ametumia kauli ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia...

 

5 years ago

Habarileo

Kagonji ahama Chadema, arejea CCM

Charles Kagonji ALIYEWAHI kugombea ubunge wa Mlalo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2005, Charles Kagonji amekihama chama hicho na kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

4 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

4 years ago

Michuzi

JENGENI IMANI NA CCM KWA MAENDELEO ZAIDI - JIMSONI MHAGAMA

 Katibu  wa CCM wilaya ya  Mufindi, Jimsoni Mhagama  KATIBU wa CCM wa wilaya ya Mufindi Bw. Jimson Mhagama amesema kuwa chama  cha mapinduzi (CCM ) kitaendelea  kuongoza kwa kuzingatia uadilifu, , amani, upendo, utulivu na kuleta maendeleo kwa wananchi wake  hivyo  kuwataka  wananchi kuchagua cheni nyenye msimamo wa kuwa na diwani, mbunge na rais wa CCM ili  kuendelea  kuwaletea maendeleo .Bw. Mhagama aliitoa kauli  hiyo  jana alipokuwa akihutubia wananchi katika mkutano  wa  kampeni za...

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 14, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 13 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM

Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu amempongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki(CCM), Lazaro Nyalandu kwa kupata ujasiri wa kuchukua hatua kubwa ambayo hata wabunge wengi waliopo ndani ya CCM wanashindwa kuichukua.

Lissu ambaye yuko kwenye matibabu jijini Nairobi  nchini Kenya amempongeza Nyalandu kwa kuwa ni alikuwa mbunge jirani yake na kuwa ujasiri wa kufanya hivyo.
Mbali na kumpongeza Nyalandu pia Lissu amezungumzia uchaguzi wa madiwani katika kata 43 akieleza kuwa...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE NYALANDU ATANGAZA DONGE NONO KWA BINGWA WA KOMBE LA NYALANDU CUP

Na,Jumbe Ismailly SINGIDA July,03,2017 Nyalandu 

MBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu ametangaza donge nono kwa timu itakayokuwa bingwa wa mashindano ya kombe la Mbunge huyo,maarufu kwa jina la “NYALANDU CUP” linalotarajia kuanza mwezi wa nane mwaka huu.
Kombe hilo litakaloanza mwezi ujao,litashirikisha timu za mpira wa miguu kwa wanaume na mpira wa miguu kwa wanawake na kilele cha mashindano ya kombe hilo kitafanyika katika Kijiji cha Ngamu,kilichopo katika Kata ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani