Nyumba 200 kuvunjwa Kigogo Wakazi wapewa notisi baada ya kushindwa kesi

screen-shot-2017-01-11-at-6-00-24-pm

Wakazi wa eneo la Kigogo kati jijini Dar es salam wameiomba Serikali kuingilia kati na kuzuia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ilala ya kuondoa zaidi ya nyumba mia mbili za makazi ya watu zilizopo eneo la RANDA BAR SHAMBA LA PIPO Kigogo kwa madai kuwa zimejengwa ndani ya eneo la mtu, ambapo tayari wamepewa notice ya siku 14 ya kutakiwa kuondoka katika eneo hilo ili kupisha zoezi la uvunjwaji wa nyumba hizo.

Wakizungumza na Channel Ten wakazi hao wamedai kushangazwa na uamuzi huo...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Wapangaji 60 wa nyumba za TBA wapewa notisi kuhama

Wapangaji  60 wa nyumba za Wakala wa Majengo nchini (TBA) ambao siyo watumishi wa Serikali wamepewa notisi ya siku 30 kuhama katika nyumba ili kupisha watumishi watakaohamia mjini hapa.

 

2 years ago

Ippmedia

Familia 16 wilayani Tarime hazina makazi baada ya nyumba zao kuvunjwa.

Familia 16 wilayani Tarime hazina makazi baada ya nyumba zao kuvunjwa.Familia kumi na sita katika kijiji cha Kerende wilayani Tarime mkoani Mara,hazina makazi baada ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la polisi kuvunja nyumba zaidi ya 30 kwa madai kuwa wamiliki wake wamekaidi agizo la serikali la kuwataka kutojenga nyumba katika eneo hilo ambalo lilitengwa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati na kituo chaafya.

Day n Time: Jumatano...

 

1 year ago

Global Publishers

BREAKING NEWS: Tazama Bomoabomoa Inavyopitia Nyumba 200 za Wakazi wa Tazara, Dar

The post BREAKING NEWS: Tazama Bomoabomoa Inavyopitia Nyumba 200 za Wakazi wa Tazara, Dar appeared first on Global Publishers.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Alichosimulia Mess wa taifa ya jang’ombe baada ya nyumba yao kuvunjwa na yeye kupata ajali huko kenya

Mshambuliaji wa Taifa ya Jang’ombe Mohd Said “Mess” amepata mtihani nyumbani kwao Malindi Mombasa nchini Kenya baada ya kuvunjwa nyumba yao kwa ujenzi wa barabara.

Mess amezungumza na Mtandao huu na kuelezea kuhusu Mtihani uliomkuta ambapo kwasasa mambo yanaendelea vizuri.

Mess amesema alilazimika kurudi kwao kwakuwa nyumba yao ilivunjwa kwaajili ya ujenzi wa Barabara lakini sasaivi wanaendelea vizuri ndo mana amerejea Zanzibar kujiunga na wenzake Taifa ya Jang’ombe.

“Nilirudi nyumbani...

 

2 years ago

Mtanzania

Kaya 200 zaishi chini ya miti baada ya kuchomewa nyumba na TANAPA

tanapaNa WALTER MGULUCHUMA-KATAVI

 ZAIDI ya kaya 200 katika Kijiji cha Ipota, wilayani Mlele, mkoani Katavi,  hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa madai si makazi rasmi.

Tukio  hilo lilizua  taharuki  kubwa kwa wakazi  wa  kijiji hicho ambao kwa siku mbili sasa familia zote zinalala nje.

Katika familia hizo wapo watoto wadogo, wajawazito na wazee ambao wameamua kuishi chini ya miti...

 

3 years ago

Vijimambo

Nyumba ya Capt.John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni

Nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni Mstaafu, John Komba (CCM), yapigwa mnada. Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi katika Jimbo la Kawe. Nyumba hiyo ipo katika kitalu namba 1030. Habari hii imechapishwa kwenye Gazeti la The Guardian la leo ukurasa wa 11.Siku za nyuma Komba alikua anadaiwa na bank ya CRDB millioni 900 aloshindwa kulipa. Hapo nyuma alijenga Shule inayooitwa Bakil Muluzi kule maeneo ya Mbweni, lakini biashara haikwenda vizuri. Ile Shule haifanyi vyema sana...

 

1 year ago

Channelten

Nyumba yenye wapangaji imevamiwa na kuvunjwa na mtu anayedaiwa kununua nyumba hiyo

BOMOA

Wapangaji sita katika nyumba iliyopo mtaa wa Kisukari mwanyamala A’jijini dsm pamoja na anayedaiwa kumiliki nyumba hiyo bw,Bushiri ramadhani wamejikuta katika hali sintofahamu baada ya nyumba wanayoishi kuvamiwa majira ya asubuhi na kuvunjwa na mtu anayedaiwa kununua nyumba hiyo.

Akizungumza na chanel ten Bw,Bushiri huku akiwa ameshikiria hati anazodai kuwa ni halali baada ya kuachiwa urithi na baba yake amesema nyumba hiyo imekumbwa na matishio kadhaa ya kuuzwa huku mzee wake akiwa hai...

 

2 years ago

Bongo5

Zitto amshauri haya Rais Magufuli baada ya Tanesco kushindwa kesi ya IPTL na kuamriwa kulipa sh320bn

Shirika la umeme Tanzania, Tanzania limeshindwa kesi yake dhidi ya IPTL na kuamriwa kulipa dola milioni 148.4 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 320 za Kitanzania.

tanesco

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID yenye makao yake mjini Washington DC, Marekani na ipo chini ya benki ya dunia.

Tanesco ilikuwa ikiwakilishwa na makampuni mawili ya wawanasheria R.K. Rweyongeza & Co. Advocates na Crax Law Partners ya Tanzania, pamoja na lile la Zurich,...

 

2 years ago

Ippmedia

Baadhi ya wakazi wa kivule wapoteza fahamu baada ya nyumba zao kubomolewa.

Zaidi ya askari wa 50 wa Jeshi la Polisi waliokuwa na silaha za moto wamesimamia zoezi ubomoaji wa nyumba za wakazi Kivule Magole..''A'' linalofanywa na kampuni ya Msolopa huku baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakipoteza fahamu na kukimbizwa Hospitali baada ya kushuhudia nyumba zao zikibomolewa bila ya malipo yeyote.

Day n Time: jumatatu saa 2:00 usikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani