Nyumba ya mchezaji aliyeshindwa kufunga mabao yavamiwa na mashabiki Zambia

Mashabiki hao walishikwa na hasira kuwa Ng'onga. alikosa nafasi wazi za kufunga wakati wa mechi muhimu ya kufuzu kwa kombe la dunia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

MwanaHALISI

Mashabiki wavamia nyumba ya mchezaji Zambia

POLISI nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai ya kuvamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda, Alex N’gonga. Mashabiki hao walishikwa na hasira kuwa Ng’onga alikosa nafasi wazi za kufunga wakati wa mechi muhimu ya kufuzu kwa kombe la dunia ambapo Nigeria iliishinda Zambia bao 1-0 Mashabiki walitoa hasira zao kwa kuvamia ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mchezaji wa zamani wa Black Sailors aweka rikodi ya kufunga mabao 4 katika mchezo mmoja

Khamis Maulid Hijja mshambuliaji wa zamani wa Black Sailors ambae kwasasa anatoa huduma katika timu ya Polisi, leo ameweka rikodi katika ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja kwa kufunga mabao manne (4) pekee timu yake Polisi wakati ilipoichapa Kimbunga mabao 4-0 katika mchezo uliopigwa majira ya saa 8 mchana katika dimba la Amaan.

Khamis alifunga mabao hayo katika dakika ya  16, 46, 59 na 69 na kuifanya timu yake itoke na ushindi huo mnono.

Nilipomuuliza unajisikiaje kufunga mabao 4...

 

3 years ago

Mwananchi

Aliyeshindwa kurejesha fomu abomolewa nyumba

Kundi la watu wasiofahamika wamevamia na kubomoa nyumba ya mgombea ubunge wa jimbo jipya la Nanyamba kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) lililogawanywa kutoka Jimbo la Mtwara Vijijini, Twahil Saidi kwa kile kilichodaiwa kuwa amekihujumu chama hicho baada ya kushindwa kurejesha fomu.

 

4 months ago

BBCSwahili

Nyumba ya Rihanna yavamiwa

Mwanamume mmoja ameivamia nyumba ya mwanamuziki Rihana na kusalia ndani ya nyumba hiyo kwa zaidi ya saa 12 nchini Marekani.

 

3 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya Chris Brown yavamiwa

Nyumba ya nyota wa muziki Chris Brown kutoka Marekani imevamiwa na kupekuliwa na watu watatu waliofunika nyuso zao ambao walimfungia shangazi lake ndani chumba chake kulingana na maafisa wa polisi.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Nyumba ya kigogo CHADEMA yavamiwa

NYUMBA ya Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), John Heche, iliyopo Mabibo Loyola, jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojulikana, ambapo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya Askofu Tutu yavamiwa

Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu.

 

3 years ago

Vijimambo

Ngassa apewa kazi ya kufunga mabao


Kocha wa Free State Stars ya huko Bondeni, Kinnah Phiri, amefichua sababu za kumsajili winga Mtanzania Mrisho Ngassa kwenye kikosi chake akisema anamtaka akafanye kazi ya ufungaji.AMEZOELEKA kucheza nafasi ya winga hapa Tanzania, lakini ameandaliwa majukumu ya straika kule Afrika Kusini.Kocha wa Free State Stars ya huko Bondeni, Kinnah Phiri, amefichua sababu za kumsajili winga Mtanzania Mrisho Ngassa kwenye kikosi chake akisema anamtaka akafanye kazi ya ufungaji.Kocha huyo amesema:
“Nimeanza...

 

3 years ago

Mtanzania

Nyumba ya Big Sean yavamiwa na majambazi

big-sean-LOS ANGELES, MAREKANI

WIKI iliyopita ilikuwa ngumu kwa msanii wa muziki nchini Marekani, Big Sean, baada ya nyumba yake kuvamiwa na watu wasiojulikana.

Wakati wa tukio hilo la uvamizi msanii huyo hakuwepo nchini Marekani ambapo watu hao walifanikiwa kuchukua vitu mbalimbali vikiwamo pamoja na cheni za dhahabu na kompyuta ambayo ilikuwa na nyimbo zake mpya.

Msanii huyo amesema baada ya kupiga hesabu ya vitu ambavyo vimepotea kutokana na wizi huo thamani yake imefikia zaidi ya milioni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani