Obama asema 'alikadiria vibaya' athari za uchafuzi wa Russia katika uchaguzi

Rais wa Marekani,  Barack Obama, kutokana na majumuisho ya taarifa za kipelelezi yanayoonyesha kuwa Russia ilihusika  na uchafuzi wa uchaguzi wa urais, amesema “hakuzipa uzito wa kutosha” athari ya kampeni za upotoshaji habari na uhalifu wa mitandao katika demokrasia. Obama akiwa amebakiza  siku  12 kumaliza muda wake amekiambia kituo cha televisheni cha ABC News (wiki hii) kwamba hafikiri kama alidharau uwezo wa rais wa Russia,  Vladimir Putin katika uhalifu huu, ambao umedaiwa na idara...

VOASwahili

Read more


Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani