Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani iliyowaliza wengi (Picha/Video)

Rais Barack Obama, Jumanne hii huko jijini Chicago ametoa hotuba yake ya mwisho kuwaaga Wamarekani baada ya kuwatumikia kwa miaka minane.

Obama anaondoka na historia ya kuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa Rais wa nchi hiyo. Ameshika nafasi hiyo kwa mihula miwili

Kwenye hotuba hiyo iliyokuwa imejaa hisia na simanzi, Rais Obama amewataka Wamarekani kulinda demokrasia yao.

Kuhusu masuala ya rangi kwenye hotuba yake Obama amesema: After my election, there was talk of a post-racial America. Such a vision, however well-intended, was never realistic. For race remains a potent and often divisive force in our society. I’ve lived long enough to know that race relations are better than they were 10, or 20, or 30 years ago

Amewataka Wamarekani wa kila kundi kufikiria mambo kwa mtazamo wa kila mmoja na kuwataka wasikilizane. Wafuasi wake walisikika wakipiga kelele ‘miaka mine tena’ lakini kwa tabasamu akawajibu ‘siwezi kufanya hivyo.’

Michelle akimkumbatia kwa hisia kali mume wake Barack Obama baada ya kupanda jukwaani kuungana naye

Kwenye hotuba hiyo, Obama amemuelezea mkewe Michelle: Michelle LaVaughn Robinson, girl of the South Side, for the past 25 years, you’ve been not only my wife and mother of my children, you have been my best friend. You took on a role you didn’t ask for and you made it your own with grace and grit and style and good humour. You made the White House a place that belongs to everybody.

Mastaa wengi wa Marekani wameonesha kumlilia Obama kupitia mitandao ya kijamii na kumpongeza kwa utawala wake. Chini ni miongoni mwao:

Karrueche
Please don’t go 😢

Jamie fox
will never forget when you became our president… there will never be another one like you…. class… Compassion… And courage!!!

Michelle na Barack Obama wakiwaaga watu waliokuwa waliohudhuria hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani

Martin Lawrence
Sad to see you go. You served our country with such class and dignity. #Obama #MichelleObama #Hope #YesWeCan #YesWeDid #BlackHistory

Anthony Hamilton

This Is Embedded in My Soul. The Image Of True Black Love. Go On Y’all! Represented Us Well. Let’s continue the legacy.

Malia Obama (kushoto) akiwa na wazazi wake


Young Jeezy

My President was Black! Congrats on 2 Great terms.. You got 10 more days in office. If you could free meech on your way out that would complete 8 years of Legendary run.. @barackobama 💯 Good luck on your future endeavors🙏

First Lady, Michelle Obama akiwa na mke wa makamu wa Rais, Jill Biden

Nas

Barack Obama is one of the Brightest human beings I have ever met. Such an inspiration. The realest human being. The coolest of the cool, always kept his head high through the bad. Fair, strong, wise, a HERO to all people everywhere. Loved by many, missed by all. #salute #HSTRY

Wamarekani wakimuaga Rais Obama walau kwa kumshika tu mkono

Marlon Wayans
Thank you @barackobama for always being a pilar of hope, a conduit for communication, a good hearted, strong willed, example of a man. You and your family have blessed us to dream outside the velvet rope. Thank you so much for your service. You will be missed

Makamu wa Rais, Joe Budden akimkumbatia Obama jukwaani

Ludacris
History has been made. #farewell

Justine Skye
😭😩💔 Thank you for showing the world that anything is possible #YesWeCan #YesWeDid

Joe Budden akiwa ana mkewe Jill pamoja na Michelle na Malia Obama

Madonna
Good-bye Mr. President! 🇺🇸There will never be another one like you! 🙏🏻 Barak Obama you are a King amongst Men

Malia akimkumbatia baba yake Barack Obama

Drake

As a Canadian that calls America home for part of the year I will always carry your words and the memory of your time in office with me as inspiration. Big up yaself O.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

VOASwahili

Rais Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani

Rais Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago siku ya Jumanne usiku mbele ya maelfu ya wafuasi wake. Alizungumzia mafanikio yake ya miaka minane na kuwahimiza wananchi kuendelea kujihusisha na siasa.

 

1 year ago

Mtanzania

OBAMA AWAAGA WAMAREKANI KWA HOTUBA NZITO

Rais wa Marekani, Barack Obama (kulia), mkewe Michelle, mtoto wao Malia, Makamu wa Rais Joel Biden na mkewe Jill wakiaga baada ya Obama kutoa hotuba ya mwisho kama Rais mjini Chicago juzi.

Rais wa Marekani, Barack Obama (kulia), mkewe Michelle, mtoto wao Malia, Makamu wa Rais Joel Biden na mkewe Jill wakiaga baada ya Obama kutoa hotuba ya mwisho kama Rais mjini Chicago juzi.

CHICAGO, MAREKANI

RAIS Barack Obama, amewaaga Wamarekani na ulimwengu mzima kwa hotuba iliyojaa hisia, aliyoitoa mjini hapa na kuwataka Wamarekani kuunganisha nguvu katika kuleta mabadiliko.

Mbele ya wafuasi wake 18,000, Rais huyo alitokwa na machozi wakati akimshukuru mke wake Michelle Obama kwa namna...

 

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Michelle Obama ampigia kampeni Hilarry Clinton kwa Wamarekani

Mke wa rais wa Marekani, Michelle Obama ametoa hotuba katika mkutano wa kwanza wa Chama cha Democratic kwa kumnadi mgombea urais kwa tiketi ya Democratic, Hillary Clinton na kuwatahadharisha Wamarekani kuhusu Donald Trump.

Akizungumza katika mkutano, Michalle Obama alisema kwa kipindi kirefu Marekni imekuwa nchi ambayo inamshikamano lakini kwa kipindi cha karibuni kumekuwepo na mtu ambaye anataka kuwagawanyisha rais wa nchi hiyo.

Alisema kuwa Marekani inahitaji mtu ambaye atasimamia misingi...

 

3 years ago

Vijimambo

HII NDIO HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI YA KUWAAGA WABUNGE WENZAKE

Mh. Zitto Zuberi Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.

Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: David Cameron atoa hotuba ya kung’atuka uaziri mkuu akisindikizwa na familia yake

David Cameron alitoa hotuba ya kuaga kama waziri mkuu wa Uingereza kwa kusindikizwa na familia yake huku akisema amefurahia miaka yote aliyoishi 10 Downing Street.

363E187000000578-3688688-image-a-16_1468434384943
Cameron akihutubia huku familia ikiwa nyuma yake

Aliamua kujiuzulu kufuatia Uingereza kupiga kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya na sasa kijiti chake kimechukuliwa na Theresa May.

363D8B0800000578-3688688-David_Cameron_gave_his_eldest_child_Nancy_a_supportive_squeeze_a-a-42_1468434385657

Kwenye tukio hilo, Cameron aliionesha kwa mara ya kwanza familia yake yote yenye watoto watatu mbele ya kamera.

363D886600000578-3688688-Nancy_appeared_shy_as_she_clung_to_her_mother_s_dress_while_her_-a-44_1468434385736
Mtoto wa mwisho, Florence...

 

2 years ago

Bongo Movies

Picha: Obama Atoa Sadaka Kwenye Kituo cha Kulelea Watoto

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ akiwa na wasanii wenzake siku ya jana walitembelea na kutoa sadaka kwenye kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazigira magumu, kituo cha Kituo Cha UMRA Kilichopo Magomeni Mikumi  jijini Dar.

mkwe-odama99 mkwe-odama688

mkewe-odama78 odama632

Odama ambaye filamu yake mpya ya MKWE  imeigia sokoni hiyo jana, amewataka mashabiki wake waende madukani wakajipatie nakara halisi ya filamu hiyo kwani ni moja kati ya kazi zake bora zaidi inayosambazwa na kampuni ya steps...

 

2 years ago

Bongo5

Video: Mke wa Donald Trump ageza hotuba ya Michelle Obama aliyotoa mwaka 2008

Mke wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Bi. Melania, amegeza sehemu ya hotuba ya Michelle Obama aliyoitoa mwaka 2008.

Melania alikuwa akihutubia jana kwenye mkutano mkuu wa chama Republican. Kashfa hiyo tayari imefunika hotuba yake na kumekuwepo na mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Obama

Kambi ya Trump imetoa maelezo kuhusiana na suala hilo japo haikuelezea kugeza sehemu ya hotuma ya first lady huyo wa sasa.

“In writing her beautiful speech,...

 

1 year ago

Mwananchi

Hotuba ya Trump yatoa matumaini kwa wahamiaji, Wamarekani

Rais Donald Trump amehutubia wabunge wa Marekani muda mfupi leo ambapo ameahidi kufufua nguvu na bidii ya Wamarekani.

 

1 year ago

VOASwahili

Trump Awapa Matumaini Wamarekani Katika Hotuba "Tofauti" Bungeni

Tofauti na hotuba yake ya kuapishwa aliyoitoa tarehe 20 Januari, rais Donald Trump Jumanne usiku alitoa hotuba mbele ya wajumbe wa Congress iliyokuwa na matumaini Zaidi. “Wakati wa fikra duni umekwisha,” alisema Trump alikiambia kikao cha pamoja cha bunge la marekani. “Nyakati za vita ndogo ndogo umekwisha,” aliongeza. Rais Trump hata hivyo alisema Marekani itaendelea na vita dhidi ya kile alichokiita ‘Ugaidi wa Kiislamu,’ na kusema kuwa utawala wake utashirikiana na mataifa ya Kiislamu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani