Obama atokwa na machozi akimshukuru Michelle

Rais wa Marekani Barack Obama alitokwa na mchozi akimshukuru mkewe Michelle kwa mchango aliotekeleza kabla na wakati wa kipindi chake kama rais.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Obama atokwa na machozi akihutubu

Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani.

 

2 years ago

BBCSwahili

Obama atokwa na machozi akizungumzia silaha

Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani.

 

1 year ago

BBCSwahili

Biden atokwa na machozi akipewa medali na Obama

Rais wa Marekani Barack Obama amemtunuku makamu wake Joe Biden Medali ya Rais ya Uhuru, ambayo ndiyo nishani ya hadhi ya juu zaidi anayoweza kupewa raia nchini Marekani.

 

7 months ago

BBCSwahili

Obama atokwa na machozi alipomfikisha mwanawe chuo kikuu cha Harvard

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema kuwa hakuweza kuzuia machozi yake alipomfikisha mwanawe mkubwa Malia katika chuo kikuu.

 

4 years ago

Mwananchi

Binti atokwa na mawe badala ya machozi

Binti mmoja wa miaka 12, amewaacha madaktari wakikosa jina la ugonjwa unaomsumbua wala tiba, kutokana na kutokwa na mawe badala ya machozi anapolia.

 

11 months ago

BBCSwahili

Francesco Totti atokwa na machozi akiaga AS Roma

Francesco Totti alitokwa na machozi baada ya mechi alipopewa ubao wa nambari 10 kwenye fremu. Mashabiki waliinua mabango yenye nambari hiyo ya jezi yake

 

2 years ago

BBCSwahili

Djokovic atokwa machozi kwa kushindwa Olimpiki Rio 2016

Nyota wa tenisi Novak Djokovic alitokwa na machozi baada ya kushindwa kwenye raundi ya kwanza katika mashindano ya mchezaji mmoja mmoja Michezo ya Olimpiki Rio.

 

2 years ago

Bongo5

Novak Djokovic baada kushindwa Olimpiki Rio 2016 atokwa machozi

Nyota wa tenisi Novak Djokovic alitokwa na machozi baada ya kushindwa kwenye raundi ya kwanza katika mashindano ya mchezaji mmoja mmoja Michezo ya Olimpiki Rio.

_90708163_gettyimages-587147682-1
Ni kwa mara ya pili kwa Djokovic kuondolewa na Del Potro Michezo ya Olimpiki

Djokovic alishindwa na raia wa Argentina Juan Martin Del Potro.

Mserbia huyo, ambaye pia alishindwa na Del Potro mchuano wa kutafuta mshindi wa nishani ya shaba michezo ya London 2012, alishindwa tena na mwanatenisi huyo kwa 7-6 (7-4) 7-6 (7-2).

Djokovic,...

 

3 years ago

Vijimambo

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani