Obama awahimiza wananchi kujihusisha na siasa

Rais Barack Obama wa Marekani Jumanne usiku alitoa hotuba yake ya mwisho kwa wananchi wa Marekani, akiwashukuru kumsaidia kukamilisha mipango mingi aliyeahidi kufanya. Akizungumza katika ukumbi wa McCormick huko Chicago mahala alipoanzia harakati zake za kisiasa akiwa mbele ya maelfu ya watu waliomshangilia huku wakisema “miaka minne zaidi”, Rais Obama aliwahimiza wananchi kuendelea na juhudi za maendeleo na kujiendeleza wenyewe. Rais Obama alisema watu wa Marekani wamemfanya awe rais...

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Tanzania Daima

Shiuma yakanusha kujihusisha na siasa

SHIRIKA la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), lenye makao yake makuu mkoani hapa limekanusha uvumi wa kujihusisha na baadhi ya vyama vya siasa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti...

 

3 years ago

StarTV

Samia awahimiza wananchi kuendeleza amani

Mgombea mwenza wa kiti cha Urais wa Chama cha mapinduzi CCM Samia Suluhu amewaomba wananchii kote nchini kuhakikisha wanatoa taarifa katika vyombo vya usalama pindi wanapoona  wageni wasiokuwa na taarifa zao katika kuelekea katika uchaguzi mkuu.

Samia ameyasema hayo alipokuwa akimaliza ziara yake ya kuomba kura pamoja na kunadi ilani ya uchaguzi ya chama hicho katika mkoa wa simiyu katika wilaya ya Maswa.

Katika kiwanja cha nguzo nane wilaya ya maswa baadhi ya wananchii wanakusanyika kwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?

Muziki hauna dini, umri, jinsi, kabila wala itikadi vivyo hivyo katika sanaa ya uigizaji. Bado wengi wanajiuliza maana halisi ya muziki, lakini Kamusi Sanifu ya Kiswahili imeeleza kuwa ni muziki ni mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta athari fulani kwa kiumbe.

 

3 years ago

Mtanzania

20 Percent: Umri wangu ni mdogo kujihusisha na siasa

20%NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Abas Kinzasa ‘20 Percent’ amesema umri wake ni mdogo sana kujihusisha na masuala ya siasa kama ilivyo kwa rafiki yake, Afande Sele.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, 20 Percent alisema kwa sasa anajipanga kurudi upya kwenye tasnia ya muziki, baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu.
“Sijakaa kimya ili ni jihusishe na masuala ya siasa kama wengi wanavyofikiria, bali nina mipango yangu mingine kabisa,” alisema 20...

 

3 years ago

Mtanzania

Izo Business: Sioni umuhimu wa kujihusisha na siasa

izzoNA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAAM
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.
“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu...

 

2 years ago

StarTV

Waziri Mkuu awahimiza Wananchi kuwa wabunifu

 

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amewataka wananchi  kuwa wabunifu kupitia fursa zilizopo katika maeneo yao  na kushirikiana na serikali ili kuweza kujiletea maendeleo na kuondokana na umaskini.

Amesema wakati umefika kwa watanzania kuwa na ushirikianao ndani ya jamii zao katika miradi ya maendeleo na kuachana na dhana ya kusubiri serikali kuwaletea mabadiliko ya kiuchumi pasipo wao kubadilika.

Ameyasema hayo katika mkutano wa Jukwaa la Maendeleo kutoka Mikoa ya Rukwa na Katavi,Jijin Dar Es...

 

3 years ago

CloudsFM

Izo Business asema haoni umuhimu wa kujihusisha na siasa

MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu nigombee nafasi mbalimbali,” alisema...

 

1 year ago

Mwananchi

Wasanii wamjia juu Mwakyembe kuhusu kujihusisha na siasa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amejipalia makaa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani