Odinga asisitiza hatambui uongozi wa rais Kenyatta, aikashifu Marekani

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, Raila Odinga, amesisitiza kuwa hatambui rais Uhuru Kenyatta kama kiongozi halali wa taifa hilo.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

RAIS UHURU KENYATTA AHANI MSIBA WA MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL ODINGA

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisaini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyefariki jana. Kulia ni mke wa Odinga, Ida Odinga. Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga huko Karen, Kenya.…

 

9 months ago

RFI

Marekani yapongeza hatua ya Kenyatta na Odinga kumaliza tofauti za kisiasa

Marekani imepongeza hatua ya viongozi wa kisiasa nchini Kenya, rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kukutana na kuahidi kuanza mchakato wa maridhiano ya kisiasa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais Kenyatta akutana na Raila Odinga

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anafanya mazungumzo na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga ili kuondoa wasiwasi wakati ambapo taifa hilo linajiandaa kwa uchaguzi mwaka mkuu ujao.

 

1 year ago

Mwananchi

Raila Odinga amuonya Rais Kenyatta

 Mgombea urais kwa tiketi ya Muungano wa Nasa, Raila Odinga amemuonya vikali Rais Uhuru Kenyatta kwamba “asithubutu kufikiria kuiba kura katika uchaguzi mkuu wa Agosti 8.”

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Kenyatta amfungulia mashtaka Odinga

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemfungulia mashtaka ya kudharau Mahakama kiongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini humo, Nasa, Raila Odinga.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, Rais Kenyatta amefungua mashtaka hayo katika Mahakama ya Juu, ambapo Katibu Mkuu wa chama tawala cha Jubilee, Raphael Tuju, ameushutumu upinzani wa Nasa, kwa kutatiza mafunzo ya maafisa wa uchaguzi kwenye ngome kuu za Odinga magharibi mwa nchi hiyo.

Kesi hiyo ni mfululizo wa hali ya sintofahamu kabla ya kufanyika kwa...

 

1 year ago

RFI

Rais Kenyatta na Odinga wajiondoa kwenye mdahalo wa wagombea

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anayewania urais kwa muhula wa pili na mpinzani wake wa karibu Raila Odinga kutoka muungano wa upinzani NASA, wametangaza kujiondoa kwenye mdahalo wa wagombea urais Jumatatu ijayo jijini Nairobi kuelekea Uchaguzi Mnkuu tarehe 8 mwezi ujao.

 

1 year ago

BBCSwahili

Rais Kenyatta na Raila Odinga wakutana katika mazishi

Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa Upinzani Raila Odinga wamekutana kwa mara ya kwanza tangu kufutiliwa mbali kwa matokeo ya uchaguzi wa urais wa Agosti 8 na mahakama ya juu

 

1 year ago

Mwananchi

Rais Kenyatta, Odinga wabanana kura za maoni za Ipsos, Infotrack

Matokeo yaliyotangazwa jana na Shirika la Utafiti la IPSOS yanaonyesha kuwa umaarufu wa mgombea urais kwa muungano wa upinzani (Nasa), Raila Odinga umepanda lakini ukifanyika uchaguzi leo Uhuru Kenyatta wa Jubilee atashinda kwa asilimia 47.

 

1 year ago

RFI

Rais Kenyatta na Odinga wasema watakubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Rais Uhuru Kenyatta na mpinzani wake Mkuu Raila Odinga walipiga kura mapema hivi leo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani