Ofisa ustawi kizimbani kwa rushwa

Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani Ofisa Ustawi wa Jamii wa  vituo vya mahakama za Mwanzo,  Deogratius Shirima (35)  kwa makosa mawili likiwemo kuomba na kupokea rushwa ya Sh200,000 kutoka kwa Hamadi Mussa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Ofisa TRA kizimbani kwa rushwa

Ofisa wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Amani  Mkwizu na mfanyakazi wa kampuni ya udalali ya Yono  Auction Mart,  Edward Magobela wamepandishwa kizimbani  wakikabiliwa na mashtaka matatu ya rushwa.

 

3 months ago

Habarileo

Ofisa Mtendaji kizimbani rushwa ya 10,000/-

OFISA Mtendaji wa kijiji cha Panyakoo, wilayani Rorya, mkoani Mara, Elenthan Milton (34), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh 10,000.

 

11 months ago

Mtanzania

Ofisa wa Serikali kizimbani kwa udanganyifu

NA MURUWA THOMAS, NZEGA

OFISA Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Alloys Andew Kwezi, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Akisomewa mashtaka na wakili wa Taasisi ya Kuzua na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Edson Mapalala, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Nzega, Saraphina Nsana, mtuhumiwa alidaiwa kutenda kosa hilo Septemba 24, mwaka 2014 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega wakati akiwa mtumishi mwenye cheo...

 

1 year ago

Mtanzania

Ofisa Uhamiaji kortini kwa rushwa

NA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni, imempandisha kizimbani Ofisa wa Idara ya Uhamiaji, Magreth Prosper (33) kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa raia wa China, Lizhi Ping.

Ofisa huyo ambaye ni mkazi wa Kitunda, Dar es Salaam, anadaiwa aliomba Sh milioni 12.6 na shtaka la pili anadaiwa  kuomba na kupokea Sh 63,000 kutoka kwa Ping.

Mbele ya Hakimu  Obadia Bwegoge, Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Faraja Sambala, alidai...

 

3 years ago

Uhuru Newspaper

Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake


NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...

 

3 years ago

Habarileo

Mfanyakazi Barclays kizimbani kwa rushwa

MFANYAKAZI wa Benki ya Barclays, katika kitengo cha Mawasiliano na Huduma za Jamii, Tunu Kavishe (33) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kushawishi na kupokea rushwa.

 

1 year ago

Habarileo

Wabunge 3 kizimbani kwa tuhuma za rushwa

WABUNGE watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya kuomba rushwa ya Sh milioni 30. Wabunge hao ni Mbunge wa Mvomero, Ahmad Saddiq (53), Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (54) na wa Lupa, Victor Mwambalaswa (63).

 

2 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo wanne wa shule kizimbani kwa rushwa


NA MWANDISHI WETU
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Nachingwea, imepawandisha kizimbani wajumbe wa kamati ya shule kwa tuhuma za rushwa.
Wajumbe hao walipandishwa kizimbani Machi 11, mwaka huu, katika Mahakama ya Wilaya ya Nachingwea, wakishitakiwa kufanya ununuzi hewa ya vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya sh. milioni 1.3 kwa ajili ya Shule ya Msingi Farm Eight.
Kesi hiyo namba CC20/2015, ilifunguliwa Machi 11, mwaka huu, ambapo washitakiwa hao ni Hamza Chidoli...

 

10 months ago

Mwananchi

Mzee wa baraza kizimbani kwa kuomba rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) mkoani Pwani jana imemfikisha mahakamani mzee wa baraza la Mahakama ya Mwanzo Mailimoja Kibaha, Francis  Ndawanje kwa tuhuma za kuomba na kupokea Rushwa ya Sh 100,000.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani