Ole Gunnar Solskjaer: Mkufunzi wa muda wa Man United aahidi kuwafanya wachezaji kufurahia soka tena

Ole Gunnar Solskjaer alifunga jumla ya mabao 126 katika misimu 11 kama mchezaji wa Man U

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Manchester United: Ole Gunnar Solskjaer ateuliwa kuongoza Mashetani Wekundu baada ya Mourinho kutimuliwa, kusaidiwa na Mike Phelan

Solskjaer, mwenye miaka 45 sasa, ameifungia United magoli 126 katika misimu 11 chini ya kocha Sir Alex Ferguson.

 

3 years ago

Bongo5

Schweinsteiger: Sito endelea kucheza tena soka Ulaya, Man United ndio klabu yangu ya mwisho

Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger, ambaye ameonekana kukosa nafasi kwa kocha Jose Mourinho, amesema hafikirii kujiunga na timu nyingine ya barani Ulaya, na badala yake ataenda kucheza soka katika Ligi ya Marekani au Asia.

Bastian Schweinsteiger (5)

Schweinsteiger alitumia account yake ya instagram kutoa taarifa kwamba Manchester United ndio itakuwa klabu yake ya mwisho kuitumikia barani ulaya, akisisitiza United ndio klabu pekee ambayo ingeweza kumuondoa Allianz Arena. Hivyo kwa sasa...

 

3 years ago

MillardAyo

Eti sio Jose Mourinho tena anayetua Man United !!! Feb 9 Man United wanatajwa kuwa na mipango na kocha huyu …

CaucgqpWEAM42PE

Kwa zaidi ya wiki nne sas klabu ya Man United inaripotiwa kuwa na mpango wa kutaka kumfukuza kazi kocha wa timu hiyo muholanzi Louis van Gaal kwa kile kinachodaiwa kuwa kutoridhishwa na uwezo wa timu, kwa kiasi kikubwa jina kubwa lililokuwa linatajwa kumrithi Louis van Gaal kama akifukuzwa Man United ni Jose Mourinho. Ila gazeti la […]

The post Eti sio Jose Mourinho tena anayetua Man United !!! Feb 9 Man United wanatajwa kuwa na mipango na kocha huyu … appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

IMAGINATION: Baada ya Pogba kuthibitika kujiunga na Man United, chat za wachezaji wa Man zilikuwa hivi

Screen-Shot-2016-08-09-at-19.03.55

Imekuwa ni kawaida kwa kundi au wafanyakazi wa taasisi fulani kuwa na group lao la whatsapp kama sehemu ya kushea mambo tofauti tofauti, mfano Jarmie Vardy wa Leicester City alishawahi kukiri kuwa yupo katika group na wachezaji wenzake wakubwa. Mtu wangu wa nguvu katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii sio conversation halisi ya group […]

The post IMAGINATION: Baada ya Pogba kuthibitika kujiunga na Man United, chat za wachezaji wa Man zilikuwa hivi appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Mourinho: Wachezaji Man United wanatakiwa kujizatiti

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa wachezaji wake wanatakiwa kujizatiti wakati maamuzi yanapofanywa dhidi yao baada ya kufungwa 3-1 na Watford ,na kuwa wamepoteza mara tatu mfululizo katika kipindi cha siku nane.

38676e6100000578-3796293-image-a-42_1474280618486

Mourinho amesema kuwa timu yake ndio iliokuwa bora na ingefaa kujipatia ushindi.

Amesema kwa sasa wanaangalia makosa ya kibinafsi pamoja na yale ya timu yote kwa jumla.

”Bao la pili lilikuwa makosa ya kibinafsi ,lakini hilo tunaweza...

 

3 years ago

Mwananchi

Mourinho kutua Man United ni muda tu

Manchester, England. Manchester United inajiandaa kumtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wao mpya kwa mujibu wa mtandao wa BBC Sport.

 

3 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya Mourinho kwa wachezaji wa Man United wanaopenda game

pokemon-go-game-details-finally-announced-904933

Headlines za kocha wa Man United Jose Mourinho zinazidi kuongezeka katika mitandao kila kukicha, July 24 2016 Mourinho ameripotiwa kutangaza maamuzi tofauti kwa wachezaji wake wa Man United ambao wanapenda kucheza game. Stori kutoka 101greatgoals.com zinaeleza kuwa Jose Mourinho amewakataza wachezaji wa Man United kucheza game za Pokemon Go, maamuzi hayo ya Maourinho hayana maana […]

The post Maamuzi ya Mourinho kwa wachezaji wa Man United wanaopenda game appeared first on...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tizama picha 4 za Jose Mourinho akiwa mazoezi na wachezaji wa Man United

Zikiwa zimesalia wiki nne kabla ya kuanza kwa msimu wa 2016/2017 kwa Ligi Kuu ya Tanzania, vilabu mbalimbali tayari vimeanza kujifua kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya.

Manchester United ni moja ya vilabu ambavyo vimeingia kambini ikiwa na kocha mpya, Jose Mourinho na wachezaji wengine wapya ambao wamesajiliwa kutoka vilabu mbalimbali barani Ulaya.

Mo Blog imekuandalia picha nne za kocha Mourninho alivyoanza kibarua chake cha kuinoa Man United katika Uwanja wa mazoezi wa Carrington.

363B3FC900000578-0-image-a-62_1468413102638

Kocha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani