OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani Arusha, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Monsanto Afrika, Dk Shukla Gyanendra. Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora. Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akizungumza jambo baada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwenye koti la Bluu ) akitoa maelezo ya matumizi sahihi ya dawa za kuua wadudu kwa wakulima wa pamba katika Wilaya ya Nzega. Mkuu wa Mkoa huyo alikuwa katika ziara maalumu ya kuhamasisha matumizi sahihi ya dawa mbalimbali katika mashamba ya wakulima wa pamba katika sehemu mbalimbali Wilayani humo. Mshauri wa Masuala ya Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Modest Kaijage (mwenye shati nyeupe) akitoa kwa wakulima namna ya kuwatambua wadudu...

 

2 years ago

Mwananchi

Waziri Maghembe ahimiza matumizi ya mbegu za GMO

Mamlaka zinazohusika na masuala ya utafiti wa kilimo nchini zimetakiwa kuharakisha kupitisha matumizi ya mbegu za uhandisi jani maarufu kama GMO kama ilivyo kwa nchi zingine za Afrika.

 

2 years ago

Michuzi

DED MEATU: MBEGU BORA, KILIMO CHA MKATABA MKOMBOZI KWA WAKULIMA WA PAMBA


Na Stella Kalinga, Simiyu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Fabian Manoza amesema Matumizi ya Mbegu bora na Kilimo cha Mkataba ni suluhu ya wakulima wa pamba inayoweza kuwasaidia kuongeza uzalishaji.

Manoza ameyasema wakati akitoa taarifa ya Wilaya ya Meatu kuhusu kilimo cha Pamba kwa Wakuu wa Mikoa nane ya Kanda ya Magharibi inayolima pamba waliotembelea eneo hilo kutoka Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Kagera, Kigoma, Singida na Tabora katika ziara yao kuona mashamba...

 

1 year ago

Michuzi

WAKULIMA WILAYANI HAI WASIFU MRADI WA N2AFRICA KWA MBEGU BORA ZA MAZAO YA MAHARAGE

Na Mathias Canal, Kilimanjaro

Wakulima wadogo katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wameipongeza Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa mazao ya kilimo ya (IITA) yenye makao makuu yake nchini Nigeria kwa teknolojia walizoanzisha za kutafiti wadudu waharibifu na aina mpya ya mbegu za maharagwe aina ya Jesca, Lyamungo 90 na Uyole njano wanazozitoa kwa wakulima.

Wakulima hao wamesema kuwa mbegu hizo zimepelekea kuongezeka kwa uzalishaji wa mazao ya mbogamboga jamii ya mikunde...

 

1 year ago

Michuzi

WAKULIMA WILAYANI BIHARAMULO WAIPONGEZA COSTECH KWA KUWAPELEKEA MBEGU BORA YA MIHOGO NA VIAZI LISHE

Watafiti, Dk.Beatrice Lyimo (wa tano kushoto) na Bestina Daniel (wa pili kulia), kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),wakiwakabidhi mbegu bora ya mihogo Wanakikundi cha Chapakazi katika Kijiji cha Kalebezo wilayani Biharamulo mkoani Kagera jana, kwa ajili ya kuanzisha shamba darasa wakati wa uzinduzi wa shamba hilo wilayani humo. 
Na Dotto Mwaibale, Biharamulo Kagera.
WAKULIMA wilayani Biharamulo mkoani Kagera wameipongeza Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)...

 

3 years ago

CCM Blog

MSEMAJI MKUU WA CCM OLE SENDEKA NA NAIBU WAZIRI OLE NASHA WAHUDHURIA SHEREHE ZA KIMILA KATIKA GELAI LUMBA, ARUSHA JANA

Zifuatazo ni picha mbalimbali kuhusu sherehe hiyo ya kimila iliyohudhuriwa na Msemaji Mkuu wa CCM Christopher Ole Sendeka na Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, katika  Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha jana,  Sherehe hiyo ilifanyika jana nyumbani kwa Diwani Saimon  


​PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA MAALUM

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS,DKT GHARIB BILAL AHIMIZA MATUMIZI BORA YA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA WANAFUNZI


Na Maryam Kidiko/Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilali amesema kuwa matumizi bora ya teknolojia ya habari yatawawezesha wanafunzi kupata elimu bora kwa urahisi.
Hayo ameyasema leo katika skuli ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja wakati wa uzinduzi wa darasa la kompyuta ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Alisema kuwa matumizi bora ya kompyuta yatawafanya wanafunzi...

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AHIMIZA MPANGO SHIRIKISHI KUENDELEZA ARDHI KATA YA MAKONGO KWA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU.

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angellah Kairuki akisisitiza namna mabaraza ya ardhi yanavyopaswa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa, wakati wa mkutano wa Waziri wa wizara hiyo  na wananchi wa kata ya Makongo leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na wa kwanza kushoto ni Diwani wa Kata ya Makongo Deusdedith Mtiro. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda...

 

3 years ago

Channelten

Maeneo yatengwe kwa Ajili ufugaji wa Samaki – William Ole Nasha

Screen Shot 2016-07-29 at 4.43.44 PM

Naibu waziri wa Kilimo,mifugo na Uwekezaji William Ole Nasha amewaagiza maafisa mifugo na Uvuvi katika wizara yake kuhakikisha wanayabaini na kuainisha maeneo tengefu ili yatengwe kwa ajili ya Ufugaji wa samaki ambao unaweza kuleta tija na faida za kiuchumi kwa watanzania.

Naibu waziri Ole nasha ametoa agizo hilo baada ya kutembelea mabwawa ya Samaki wa maji baridi yaliyotengenezwa katika eneo la kigamboni jijini dsm na Bw,Omar kamugisha ambapo zaidi ya samaki 35 elfu aina ya Tilapia na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani