OmbaOmba: Janga linalokua kwa kasi kijiji cha Nungwi

Wamiliki  wa mahotel  kijiji cha Nungwi wamewataka wazazi na walezi  wanaoishi karibu na mahoteli kuwazuia watoto  na kuwakataza tabia ya kuomba omba watalii kwani hatua hiyo itaweza kuwasababishia kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. 

Wakizungumza kwa masikitiko makubwa baadhi ya wamiliki wa mahoteli hao ambao wamekataa kutajwa majina yao wamesema tabia ya kuomba omb pia ni chanzo cha udhalilishaji kwa watoto kwani wapo baadhi ya wageni hawatoi pesa zao bure. 

Wamesema wazazi...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Wavuvi wa Kijiji cha Nungwi Walalamikia Uvuvi Haramu Katika Bahari

Mwananchi Mvuvi wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na uvuvi haramu unaofanywa na baadhi ya makampuni katika ukanda wao wa bahari ya nungwi kwa kutumia bunduki na mishale wakati wa uvuvi wao na kuwakimbiza samaki katika maeneo hayo na wao inawalazimu kwenda kuvua sehemu ya mbali na eneo hilo kutokana na samaki kukimbilia maeneo mengine, wameitaka taasisi husika kulichunguza hilo.Mwananchi wa Kijiji cha nungwi Unguja...

 

2 years ago

Dewji Blog

Simu aina ya Acer inafanya vizuri katika soko la simu linalokua kwa kasi duniani

Wakati kampuni kadhaa za simu za mkononi wakiwa katika mikakati kabambe ya kupanua biashara zao nchini India, lakini kwa Acer wapo katika mapumziko kidogo baada ya kazi kubwa na ndefu ya kutafuta masoko na kujijenga kibiashara.

Kampuni hiyo kutoka Taiwan wameamua kupumzika kwa muda katika soko la siku na kuweka nguvu kubwa kwenye kompyuta mpakato zake na bidhaa zingine za kieletroniki baada ya kazi kubwa ya miaka kadhaa, wamesema hayo mwishoni mwa wiki.

Mkakati huo umekuja baada ya nchini...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembeela Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhusiana na masuala ya huduma za maji na umeme.Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Nd. Haji Juma Haji, kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Garu. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...

 

2 years ago

Michuzi

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA LORI KIJIJI CHA KATIKA KIJIJI CHA KIJOTA, SINGIDA.

Watu sita wamefariki dunia huku wengine 42 wakijeruhiwa baada ya lori lenye namba za usajili T.806 AEL aina ya scania mali ya Abdalla Mussa (39) mfanyabiashara mkazi wa Mwenge mjini Singida, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kijota, Singida.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba amesema ajali hiyo imetokea Agosti 27 mwaka huu saa 1.30 usiku katika kijiji cha Kijota wakati likitokea mnadani katika kijiji cha Mtinko Singida vijijini, likielekea Singida mjini.
ACP...

 

4 years ago

Habarileo

Kijiji cha Milenia chakoleza kasi ya maendeleo Uyui

WANANCHI wanaoishi katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameanza kunufaika na Mradi wa Kijiji cha Milenia unaotekelezwa katika kijiji cha Mbola kilichoko wilayani humo.

 

4 years ago

Mwananchi

Chama cha wazee chakerwa kuzagaa kwa ombaomba mitaani

Serikali imetakiwa kuwaondoa kwa nguvu ombaomba wote mitaani kwani kuwaacha ni kuwadhalilisha na kudumaza maendeleo ya familia zao, ikiwa ni pamoja na kujenga hisia kwa watoto kuwa kuomba mitaani ni mojawapo ya ajira sahihi.

 

3 years ago

Michuzi

DC NDEJEMBI ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KATIKA KIJIJI CHA SILWA KATA YA PANDAMBILI NA KUMUAGIZA MKURUGENZI KUMSIMAMISHA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI CHA SILWA.

Leo (jana) baada ya shuguli ya kuadhimisha miaka 17 toka Mwalimu Nyerere afariki, DC Ndejembi na Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya ya Kongwa Ndg Izengo walifanya ziara ya kushtukiza katika Kijiji Cha Silwa kata ya Pandambili Baada ya kupata taarifa kuna uchimbaji wa madini aina ya KONISUPHIRE unaofanyika na wafanyabiashara bila kua na vibali vyovyote. 
Baada ya kufika eneo la tukio wakabaini mtendaji wa kijiji Ndg Michael Boniface Magenje alitoa eneo bila kutoa nakala kwenye Kata wala...

 

3 years ago

Ippmedia

Wilaya ya kyerwa yagawa chakula cha msaada kwa wakazi wa kijiji cha Muhulile mkoani Kagera

Siku moja baada ya ITV kutangaza wakazi wa kijiji cha Muhulile kata ya Nkwenda wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wanakabiliwa na janga la njaa , uongozi wa wilaya hiyo umemuita mwandishi wa itv Cosmas Makongo kwa lengo la kukanusha ukweli wa jambo hilo wakimtaka kuonyesha alipopata picha huku Mkurugenzi Mtendaji wa halamshauri hiyo akitoa ufafanuzi.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

Tigo yakabidhi kisima cha maji kwa Wananchi wa Kijiji cha Usongelani wilayani Urambo, Tabora


Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry akipampu maji katika kisima cha maji kilichotolewa Msaada na Kampuni ya simu za Mkononi nchini Tigo katika Kijiji cha Usongelani wilayani Urambo mkoani Tabora,Kisima hicho kimegharimu zaidi ya shilingi milioni 18. 
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry akifungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi kisima cha maji kilichotolewa Msaada na Kampuni ya simu za Mkononi nchini Tigo katika Kijiji cha Usongelani wilayani Urambo mkoani Tabora. Kisima hicho kimegharimu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani