OPCW: Gesi ya Sarin ilitumika kwenye mashambulizi Syria

Shirika linalopambana na matumizi ya silaha za kemikali limesema gesi ya Sarin ilitumika kwenye mashambulizi mjini Khan Sheikhoun

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi yalaaniwa Syria

Umoja wa mataifa,walaani mashambulizi yanayoendelea dhidi ya Raia nchini Syria

 

2 years ago

BBCSwahili

Amnesty yalaumu mashambulizi Syria

Amnesty International inao ushahidi dhidi ya mashambulizi ya anga nchini Syria kuua maelfu ya raia, na uharibifu mkubwa wa mali.

 

3 years ago

BBCSwahili

Syria:Mashambulizi yashindwa kukabili IS

Syria imesema kuwa mashambulizi ya miezi miwilli yanayoongozwa na Marekani yameshindwa kulidhoofisha kundi la Islamic State.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi mapya Syria kuchunguzwa

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema madai yote ya kuvunjwa muafaka wa kusitisha mashambulizi yatachunguzwa

 

2 years ago

Mtanzania

Uturuki yaendeleza mashambulizi Syria

Ashton Carter

Ashton Carter

ISTANBUL, UTURUKI

MAJESHI ya Uturuki yameendeleza mashambulizi kaskazini mwa Syria licha ya ukosoaji kutoka mshirika muhimu, Marekani.

Marekani ina wasiwasi kutokana na makabiliano baina ya Uturuki ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya Kujihami (NATO), na wanamgambo wa Kikurdi inaowaunga mkono.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Ashton Carter, alisema wametoa wito kwa pande hizo kuacha kupigana na badala yake kulilenga kundi lijiitalo Dola la Kiislamu (IS).

Msemaji wa Wakurdi wa Syria,...

 

10 months ago

BBCSwahili

Australia yasitisha mashambulizi Syria

Serikali ya Australia inasema kuwa hatua hiyo ni ya kuchukua tahadhari.

 

3 years ago

BBCSwahili

Urusi yafanya mashambulizi zaidi Syria

Ndege za Urusi zimefanya mashambulio zaidi nchini Syria.

 

2 years ago

Channelten

Syria imekumbwa na mashambulizi kutoka kundi la IS

694940094001_4907626563001_052316-anr-keane-1280

Serikali ya Syria imekumbwa na mfululizo wa mashambulizi ambapo watu 148 wameripotiwa kuuawa huku kundi la Islamic State likidai kuhusika na mashambulizi hayo.

Mashambulizi yalioyakumba maeneo ya Tartous na Jableh ni mapya katika miji hiyo inayokaliwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka jamii ya watu wachache, ambayo ni jamii ya rais wa Syria Bashar Al-Assad ambapo Miji hiyo imekuwa mbali na vita vinavyoendelea nchini humo kwa miaka mitano sasa.

Taarifa za shirika la haki za binadamu la Syria...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi makali yasababisha vifo Syria

Mashambulizi makali ya ndege katika anga ya Syria yamesababisha vifo vya makumi ya watu

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani