Orodha ya majina walioomba nafasi za kazi ya ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi ya ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kufika katika Skuli ya M/kwerekwe “C” saa 2:00 za asubuhi kwa utaratibu ufuatao:-

1. Tarehe 30/09/2017 walimu wa Stashahada na Cheti kwa Skuli za Msingi na Maandalizi.
2. Tarehe 01/10/2017 walimu wa Shahada kwa ajili ya Skuli za Sekondari.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo,Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi 202 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kama ifuatavyo:-

1. Walimu wa Sayansi na sanaa waliohitimu mwaka 2016 na kurudi nyuma kama ifuatavyo:-
(i) Walimu wa Cheti : Nafasi arobaini na nne (44) UNGUJA na kumi na mbili (12) PEMBA.
(ii) Walimu wa Stashahada ya msingi : Nafasi arobaini (40) UNGUJA na ishirini (20) PEMBA.
(iii) Walimu wa shahada ya kwanza: Nafasi sitini (60) UNGUJA na ishirini (20) PEMBA.
Sifa za Muombaji:
• Awe ni...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Orodha ya Walimu walioitwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar inawatangazia walimu wafuatao kufika Skuli ya Mwanakwerekwe “C” siku ya Jumaatano tarehe 20 Disemba 2017 saa 2:00 kamili za asubuhi kwa walimu wa Unguja na kwalimu wa Pemba wafike Skuli ya Madungu Chake Chake – Pemba siku ya Jumaamosi tarehe 23 Disemba 2017 saa 2:00 za asubuhi.

WALIMU WENYEWE NI:

WALIMU WA DIPLOMA – UNGUJA
TATU FOUM SHEHA
KHAMIS HAJI KIONGWE
TANO OTHMAN OMAR
KAZIJA KOMBO KHAMIS
FAT-HIYA RAMADHAN MOH’D
ZUHURA IDDI OMAR
MSIMU MOH’D...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi 151 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali – Pemba kama ifuatavyo:-

1. WALIMU WA SANAA NGAZI YA CHETI – Nafasi thamanini na saba (87)
Sifa za Muombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu mafunzo ya Ualimu wa Sanaa ngazi ya Cheti katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. WALIMU WA SAYANSI NGAZI YA CHETI – Nafasi kumi na sita (16)
Sifa za Muombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu mafunzo ya Ualimu wa...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Nafasi za Ukutubi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi 41 za kazi ya Ukutubi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

NAM. IDARA IDADI YA NAFASI MAHALI
1 IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI 32 UNGUJA
2 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 5 UNGUJA
3 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 4 PEMBA

Sifa za Muombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada ya Ukutubi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi...

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI YA ABDALLAH SHARIA

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Amali Zanzibar Bi. Khadija Bakari Juma akifungua pazia kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Abdallah Sharia iliyopo Tomondo Mjini Zanzibar.Muonekano wa Skuli ya Msingi ya Abdallah Sharia iliyopo Tomondo.Mkurugenzi Idara ya Elimu Maandalizi na Msingi Bi. Safia Ali Rijali akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Amali Zanzibar Bi. Khadija Bakari Juma (hayupo pichani) aliemuakilisha Waziri wa Elimu...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wizara wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar: Serikali haina mpango wa kufunga mkataba na walimu wanaojitolea

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mmanga Mjengo Mjawiri amesema Serikali haina Mpango wa Kufunga mkataba na (Vijana) walimu wanaojitolea katika skuli mbalimbali baada ya kumaliza elimu yao ya secondary kutokana na walimu hao kutopata mafunzo ya uwalimu katika vyuo vinavyotambulika.

Akijibu swali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, Naibu waziri huyo amesema ni kweli kuna baadhi ya skuli zinawatumia Vijana kwa kuwasaidia wanafunzi...

 

3 years ago

Michuzi

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR YASAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI NA MAKANDARASI M/S.HUMPHREY CONTRUCTION LIMITED YA ARUSHA NA MINDSET TECHIES (T) YA DAR ES SALAAM.

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khadija Bakari Juma akitoa ufafanuzi kwa Wadau waliohudhuria hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba miwili ya Ujenzi baina ya Wizara yake na Makandarasi kutoka M/S. Hamphrey Construction Limited ya Arusha na Mindset Teches (T) ya Dar es Salaam Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Zanzibar. Wadau mbalimbali waliohudhuria katika sherehe za kutiliana saini mikataba hiyo. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DK. SHEIN AZUNGUMZA NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI

eli1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Ungujaeli2Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika  kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  ...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Orodha ya majina walioomba kazi mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar – ZAA

Mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar (ZAA), ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya sheria namba8 ya mwaka 2011.

Kupitia gazeti la Zanzibar leo la Julai 18 na 19, 2017 lilitangaza nafasi mbalimbali za kazi katika mamlaka hiyo. Kwa mujibu wa tangazo hilo, mwisho wakuomba nafasi hizo ilikua ni August 07, 2017 saa 9.00 Alasiri.

Mamlaka hiyo inawataka waombaji wote kuhakiki majina yao yaliyochapishwa katika gazeti la Zanzibar leo la Septemba 18, 2017 na ambae hatoona jina lake afike...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani