Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016

zitto

Upo ule usemi kwamba ukitaka kumficha jambo mtu mweusi basi weka ujumbe kwenye vitabu, hawezi kuuona na eti hilo ni jibu kwamba waafrika hatuna utaratibu wa kusoma vitabu. Hii ni tofauti kwa mwanasiasa maarufu na mbunge wa Kigoma Ujiji, Zitto Zubeir Kabwe ambaye mpaka kufikia sasa ameshasoma vitabu 53. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zitto […]

The post Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Malunde

ZITTO KABWE AANIKA ORODHA YA VITABU 49 ALIVYOSOMA MWAKA 2018

Tangu Mwaka 2012 nimekuwa naorodhesha vitabu nilivyosoma katika mwaka. Si vitabu vyote huviweka hapa kwani vingine huwa nasoma na kuviacha njiani ama kutopendezwa navyo au kwa kusahau tu. 


Vitabu vingine huwa vitabu rejea na huvirudia kwa ajili ya mafunzo ili kufanya maamuzi Fulani Fulani au kwa ajili ya ibada (kwa mfano Quran) au kwa sababu nyenginezo. Nafurahi kuwa hivi sasa kwenye mitandao duniani kote watu wamekuwa wakiorodhesha vitabu ili kujengana katika utamaduni wa kusoma. Barack...

 

1 year ago

Malunde

ZITTO KABWE ATANGAZA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI SHERIA YA TAKWIMU YA MWAKA 2015

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema watafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vilivyomo katika Sheria ya Takwimu ya mwaka 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya kitengo cha upelelezi wa makosa ya kifedha kilichopo Kamata, Kariakoo jijini Dar es Salaam, Zitto amesema haiwezekani kukawa na mamlaka moja ya kutoa takwimu.

Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini amesema tangu kutungwa kwa sheria hiyo imekuwa ikipigiwa kelele kutokana na kuminya uhuru wa wananchi...

 

3 years ago

MillardAyo

Alichokiandika Zitto Kabwe leo september 19 2016

zitto-1

Zitto Kabwe ni mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo ambaye amekuwa akiziandika headline mbalimbali kupitia uwezo wake wa kuichambua siasa, leo September 19 2016 Zitto kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika ujumbe huu. ‘Kwanini Rais Magufuli hafanyii Kazi suala la IPTL? Matapeli hawa wataendelea kuipa hasara Nchi yetu mpaka lini? Sasa mahakama […]

The post Alichokiandika Zitto Kabwe leo september 19 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zitto Kabwe, MB

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Zitto Kabwe

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.

Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...

 

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

 

3 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...

 

3 years ago

MillardAyo

Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu kiasi cha fedha kitachohudumia deni la Taifa katika bajeti ya 2016/17

latest-news-fotó-650x35035

Una haki ya kupata chochote kinachonifikia mtu wangu wa nguvu hii baada ya kuipata nimeona haitokua nzuri kama nisiposhirikiana na wewe kuisoma hii kuhusiana  na maneno ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Mh Zitto Kabwe kutaja kiasi cha fedha ambacho kitahudumia deni la taifa katika bajeti ya 2016/17. Mbunge huyo alishea taarifa hiyo kupitia kwenye […]

The post Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu kiasi cha fedha kitachohudumia deni la Taifa katika bajeti ya 2016/17 appeared first on...

 

2 years ago

Mwananchi

Mwaka 2016 haukuboresha maisha ya wananchi- Zitto

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mwaka 2016 ulikuwa wa utumbuaji na majipu na kusahau kuongoza na kuboresha maisha ya wananchi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani