OSHA YASISITIZA KADA YA USALAMA KAZINI KUTAMBULIKA RASMI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unakusudia kuishawishi serikali na waajiri katika sekta binafsi hapa nchini kuitambua kada ya Usalama na Afya mahali pa kazi na kuiweka katika mfumo rasmi wa ajira.
Mpango huo uliwekwa wazi na Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi.Khadija Mwenda, alipowahutubia wahitimu wa Kozi ya Taifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi katika hafla ya kufunga kozi hiyo Februari 23,2018 jijini Dar es salaam. Kozi hiyo pamoja na nyingine zinazohusu Usalama na Afya...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

OSHA watakiwa kufuatilia usalama wa wachimbaji wagodo

 

Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi OSHA wametakiwa kufuatilia kwa karibu maeneo ya wachimbaji wadogo ambao maisha yao yapo hatarini kutokana na kutozingatiwa kwa kanuni za usalama na afya na hivyo kuhatarisha maisha ya wachimbaji.

Mkoa wa Geita wakazi wake wamejikita katika uchimbaji ambapo baadhi ya Kampuni ndogo za uchimbaji zimekuwa zikiwatumikisha wafanyakazi wao kuchenjua dhahabu kwa kutumia sumu ya zebaki wakiwa hawana vifaa na usalama wao ni mdogo.

 Bado kuna changamoto nyingi...

 

5 years ago

Dewji Blog

Baraza la wakala wa Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) lazinduliwa

IMG_4656

Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akiwa anakaribishwa na Henry Mpande ambaye ni Mwenyekiti wa Hoteli ya Kitalii ya Millennium iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani ambapo mkutano wa baraza la wakala wa usalama na afya katika mahala pakazi OSHA ulipofanyikia.

IMG_4682

Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akibadilishana mawazo na  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi OSHA Dr. Akwilina Kayumba  baada ya kuzindua...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALA PAKAZI (OSHA) LA ZINDULIWA MJINI BAGAMOYO

Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi linaloshughulikia Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dkt. Makongoro Mahanga (wa tatu kulia walioketi) mara baada ya kufunguliwa kwa Kikao cha Baraza hilo,jana kwenye Hoteli ya Millennium Mjini Bagamoyo. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dkt. Makongoro Mahanga akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA), Dkt. Akwilina Kayumba baada ya kuzindua...

 

2 years ago

Malunde

KADA WA UVCCM ALIYEJIFANYA USALAMA WA TAIFA AMEACHIWA HURU TENA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai ole Sabaya ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kughushi na kutumia kitambulisho cha Usalama wa Taifa.
Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haina sababu ya kuendelea na kesi hiyo.
Hii ni mara ya nne shauri hilo linafikishwa Mahakamani lakini linaondolewa kwa sababu ya Jamhuri kutotaka kuendelea nayo.

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yashinda tuzo ya Usalama na Afya kazini

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya nafasi ya kwanza ya Usalama na Afya Mahala pa kazi kwa mwaka 2014 kwa upande wa sekta ya mawasilinao ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo kushinda tuzo hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 2000.
Tuzo hiyo inayotolewa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa kazi Nchini (OSHA) imetolewa wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi Duniani ambapo kitaifa ilifanyika jijini Dar es salaam wiki...

 

3 years ago

Bongo5

Wolper awa kada rasmi wa CCM, mashabiki wamuita ‘Yuda Iskarioti’

Jacqueline Wolper, muigizaji aliyejipatia umaarufu mwaka jana kwa kuwa bega kwa bega na aliyekuwa mgombea urais kupitia tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi, CCM.

Wolper alitangaza kujiunga na chama hicho tawala Jumamosi iliyopita kwenye mkutano mkuu uliofanyika Dodoma ambapo pia Rais Dkt John Magufuli alichaguliwa kuwa mwenyekiti mpya.

Muigizaji huyo alishare kwenye Instagram picha ikimuonesha akimpa mkono Rais mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete kwenye mkutano...

 

2 years ago

Malunde

MAONESHO YA WIKI YA USALAMA NA AFYA KAZINI 2017 MKOANI KILIMANJARO


Maonesho ya wiki ya usalama na afya kazini yameanza leo siku ya Jumatano tarehe 26/04/2017 katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimepata fursa ya kuonyesha namna zinavyozingatia masuala ya usalama na afya kazini kwa wafanyakazi wao.
Miongoni mwa taasisi zilizopata fursa ya kushiriki maonyesho hayo kwa mwaka huu ni pamoja na kampuni za uchimbaji wa madini za Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara ambazo zinamilikiwa na kampuni...

 

2 years ago

Mwananchi

Mv Kazi rasmi kazini

Dar es Salaam. Wizara ya Ujenzi, Miundombinu, Mawasiliano na Uchukuzi imeahidi kuendelea kutafuta njia mbalimbali kukabiliana na changamoto ya usafiri hasa katika maeneo yanayotegemea vivuko.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mapendekezo ya washiriki wa mkutano wa marekebisho ya sheria za fidia na ile ya usalama kazini

Washiriki wa mkutano wa marekebisho ya sheria za fidia na ile ya usalama kazini, wamependekeza katika marekebisho ya sheria hizo, kuwe na kitendo maalumu ndani ya mahakama ya Mkoa, inayoshughulikia upatikanaji wa fidia, pale wafanyakazi wanapopata ajali wanapokuwa kazini.

Walisema suala la fidia kumtaka mfanyakazi aliepata ajali au kuumia kazini, shauri lake liwemo kwenye mahakama za kawaida, ni kumuomgezea maumivu kutokana na mahakama hizo kuzidiwa na kesi.

Washiriki hao walieleza hayo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani