Oxlade-Chamberlain: Kuondoka kwa Coutinho hakutaathiri Liverpool

Kuondoka kwa Philippe Coutinho hakutaathiri klabu ya Liverpool kivyovyote kulingana na kiungo wa kati wa klabu hiyo Alex Oxlade-Chamberlain

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Liverpool kumsajili Oxlade Chamberlain kwa £40m

Liverpool imekubali kuilipa Arsenal dau la £40m kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na Uingereza Alex Oxlade Chamberlain

 

1 year ago

BBCSwahili

Liverpool wamsajili Alex Oxlade-Chamberlain kwa £35m kutoka Arsenal

Liverpool wamekamilisha usajili wa kiungo wa kati wa England Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Arsenal kwa kulipa £35m.

 

1 year ago

BBCSwahili

Liverpool waanza mazungumzo kuhusu Oxlade-Chamberlain

Liverpool waanza mazungumzo kuhusu Oxlade-Chamberlain baada yake kukataa kuhamia Chelsea Jumanne hata baada ya klabu hizo kuafikiana kuhusu uhamisho wake wa £40m.

 

1 year ago

BBCSwahili

Oxlade Chamberlain aikataa Chelsea, ataka kwenda Liverpool

Kiungo wa kati wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain amekataa uhamisho wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukubali dau la £40m.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nafuu kwa Oxlade-Chamberlain na Gibbs

Walionyeshwa kadi nyekundu kimakosa katika mchuano kati ya Chelsea na Arsenal, ambapo Arsenal ililimwa mabao 6-0.

 

1 year ago

Mwananchi

Oxlade-Chamberlain hatihati Arsenal

 Maisha ya soka kwa mchezaji Alex Oxlade-Chamberlain yamekuwa njiapanda Arsenal baada ya ukimya kutawala kuhusu kumuongezea mkataba.

 

2 years ago

BBCSwahili

EFL: Alex Oxlade-Chamberlain awezesha Arsenal kulaza Reading

Arsenal wameendeleza rekodi yao ya kutoshindwa baada ya Alex Oxlade-Chamberlain kuwafungia mabao mawili na kuwawezesha kuondoka na ushindi dhidi ya Reading.

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Justin Bieber akutana na Mesut Ozil na Alex Oxlade-Chamberlain ndani ya Arsenal

Msanii wa miondoko ya Pop, Justin Bieber ambaye kwa sasa yupo jijini London katika mwendelezo wa Tour yake ya “Purpose”, alifanikiwa kukutana na wachezaji wa klabu ya Arsenal Alex Oxlade na Mesut Ozil ambao walimpeleka msanii huyo katika kiwanja cha mazoezi cha Arsenal.

bieber-large_transqvzuuqpflyliwib6ntmjwfsvwez_ven7c6bhu2jjnt8-png

alex

Katika akaunti ya Arsenal waliposti picha ambayo ikimwonyesha Justin Bieber akibadilishana shati na Mesut Ozil

download-25

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani