P-Funk atoa ofa ya milioni 5 kwa Godzilla warudie kuurekodi wimbo wake ‘Tungi’

Mtayarishaji wa muziki na mwanzilishi wa Bongo Records, P-Funk Majani, ametoa ofa ya zaidi ya shilingi milioni 5 kwa Godzilla kumtaka warudie wimbo wake ‘Tungi’ uliopo kwenye mixtape yake, Zillax. Godzilla amekiambia kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM kuwa, mtayarishaji huyo mkongwe alisema yupo tayari kuurudia wimbo huo na kuufanyia video kutoka kwa director yoyote […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Exclusive: P-Funk aishtaki Walt Disney kwa kutumia wimbo wake kwenye ‘Queen of Katwe’, Chameleone adaiwa kulipwa na kuchuna

Producer mkongwe, P-Funk Majani wa Bongo Records ameishtaki kampuni maarufu ya filamu nchini Marekani, Walt Disney, kwa kutumia wimbo Bomboclat wa Jose Chameleone na Weasel kwenye soundtrack ya filamu yake Queen of Katwe (2016) iliyochezwa na mshindi wa tuzo za Oscar, Lupita Nyong’o.

Beat ya wimbo huo ilitayarishwa na P-Funk na ilitumika awali kwenye wimbo wa Professor Jay, Nikusaidiaje, lakini haki miliki za kazi hiyo zipo chini ya label yake, Bongo Records.

Awali, baada ya Majani...

 

3 years ago

Bongo5

Ali Kiba atoa nafasi kwa mashabiki wake kupendekeza jina la wimbo wake mpya

Ali Kiba

Staa wa muziki, Ali Kiba amesema anajipanga kuachia wimbo wake mpya hivi karibuni, huku akitoa nafasi kwa mashabiki kupendekeza jina la wimbo huo.
Ali Kiba

Akizungumza na katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Ijumaa hii, Ali Kiba amewapa uhuru mashabiki kutoa jina la wimbo huo.

“Mashabiki zangu kaeni mkao wa kula nashusha balaa lingine muda si mrefu kutoka sasa. Hii ngoma hata sijui mimi niiiteje yaani ila nitawaachia wenyewe wananchi mchague jina la kazi hiyo” alisema Ali...

 

3 years ago

Bongo5

Rihanna atoa zawadi ya wimbo wake ‘Diamond’ kwa watu waliouawa jijini Nice

Rihanna ametoa zawadi ya wimbo wa ‘Diamond’ kwa watu 84 waliouawa wiki iliyopita jijini Nice, Ufaransa.

wp-1468653684244

Muimbaji huyo alilazimika kusitisha kufanya show ya ziara ya dunia ya Anti kwenye mji huo kutokana na mauaji hayo. Akifanya show yake kwenye mji wa Lyon wiki hii, Rihanna amesema, “Tonight is the night I wish I could have experienced with my fans in Nice.”

“This next song I want to dedicate to the people of Nice. To the people who’ve suffered, to the people who’ve been traumatized and...

 

3 years ago

Bongo5

Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza

Adele, Mwimbaji kutoka Uingereza amerudi kwa kishindo baada ya kuweka rekodi mpya ya Youtube kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’ uliotoka Ijumaa Oct.23. Ndani ya saa 24 toka video ya wimbo huo iwekwe kwenye mtandao wa Youtube imetazamwa mara milioni 25, na kuvunja rekodi iliyowekwa na Taylor Swift na Kendrick Lamar ambao collabo yao ‘Bad Blood’ […]

 

3 years ago

Mwananchi

Magufuli atoa ofa ya soda kwa waliompokea

Siku ya jana ilikuwa njema kwa wakazi wa Mwanza, si tu kwa ahadi ya meli mpya, bali kwa wananchi waliojitokeza kumlaki Rais John Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza kupata ofa ya soda kutoka kwa kiongozi huyo.

 

3 years ago

Mwananchi

Waziri Kairuki atoa ofa kwa wanafunzi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki ametoa zawadi ya ada kwa masomo ya kidato cha tano na sita kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika mitihani yao ya kidato cha nne mwaka huu.

 

4 years ago

Dewji Blog

Godzilla wa Sengerema amuibukia Godzilla wa Salasala kwa madai ya kuibiwa jina

IMG_0860

Picha ni msanii wa nyimbo za Bongo flava, Godfrey Ally kutoka Kanda ya Ziwa anayemshutumu Godzilla wa Salasala kamwibia jina lake.

Na Daniel Makaka, Sengerema

Msanii wa nyimbo za Bongo flava, Godfrey Ally kutoka Kanda ya Ziwa, mwenye makazi yake kijiji cha Bupandwa Kata ya Bupandwa wilayani Sengerema Mkoani Mwanza ameibuka na kusema kuwa aliibiwa jina hilo  na msanii maarufu wa Hip Hop, kutoka Salasala,  Golden Mbunda  “ Godzilla”  ambaye msanii huyo anajiita hivyo.

Akizungumza na mwandishi...

 

4 years ago

CloudsFM

DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF

Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?

...

 

5 years ago

Bongo5

Mike T atoa ofa ya video 10 kwa wasanii wachanga

Rapper Mike Tee ambaye pia ni mtayarishaji wa video za muziki chini ya kampuni ya Showbiz Defined, ameweka wazi mkakati wake wa kuwasaidia wasanii chipukizi. Mike Tee ameiambia E-Newz ya EATV kuwa ameamua kutoa ofa ya kufanya video 10 kwa wale watakaokuwa na kazi nzuri. Alisema zoezi hilo litaendeshwa mpaka tarehe 15 mwezi huu na […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani