Paul Pogba: Manchester United wamnunua kiungo wa Ufaransa kwa £89m

Paul Pogba amesema huu "ndio wakati bora zaidi wa kurejea Old Trafford" baada yake kukamilisha kuhamia Manchester United kwa kununuliwa £89m, ambayo ni rekodi mpya ya dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Done Deal: Paul Pogba atua Manchester United kwa £89m

Manchester United wamekamilisha rasmi usajili wa miaka mitano wa Paul Pogba kutoka Juventus ya Italia kwa ada ya paundi milioni 89.

_90719758_getty_pogba_2

Pogba (23), ambaye alikuwa akihusishwa na United kwa muda mrefu, sasa amekuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya soka ulimwenguni, akimpiku Gareth Bale ambaye alisajiliwa na Real Madrid kutoka Tottenham mwaka 2013.

“Manchester United wanayo furaha kubwa kutangaza rasmi kwamba Paul Pogba amekamilisha uhamisho wake kutoka Juventus ya Italy,” klabu ilitoa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Paul Pogba: Kiungo wa kati wa Manchester United apata jeraha

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba hataweza kuchezea klabu hiyo mechi ya Ligi ya Premia Jumapili ugenini dhidi ya Middlesbrough.

 

10 months ago

BBCSwahili

Chimbuko la mchezaji wa Man United na Ufaransa Paul Pogba

Paul Pogba alianza kuvutia klabu kadhaa kabla ya ya kufikisha umri wa miaka 17 alipoondoka nyumbani na kujiunga na Manchester United kutoka klabu ya Ufaransa ya Le Havre.

 

3 years ago

Dewji Blog

DEAL DONE: Manchester United yakamilisha uhamisho wa Paul Pogba

Ile ndoto ya mashabiki wa Manchester United kumuona mchezaji wao wa zamani, Paul Pogba akijiunga tena katika klabu hiyo imetimia baada ya Man United kukamilisha usajili wa kiungo huyo.

Pogba amerejea Man United akitokea Juventus alipokuwepo tangu mwaka 2012 na amerudi katika klabu yake ya zamani kwa kitita cha Pauni Milioni 89 kwa mkataba wa miaka mitano.

Akizungumza na mtandao wa Manchester United baada ya kukamilisha uhamisho huo, Pogba alisema ni furaha kwake kurejea katika klabu...

 

2 years ago

Bongo5

Manchester United kuwakosa Paul Pogba na Marouane Fellaini

Wachezaji wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba na Marouane Fellaini hawatocheza mchezo wa hatua ya robo fainali ya kombe la ligi (EFL Cup), ambapo Man Utd watawakalibisha wagonga nyundo kutoka jijini London West Ham Utd siku ya jumatano.

during the Premier League match between Manchester United and Southampton at Old Trafford on August 19, 2016 in Manchester, England.

Viungo hao wawili walionyeshwa kadi za njano katika mchezo wa ligi ya England uliochezwa jana kwenye uwanja wa Old Trafford dhidi ya West Ham Utd, ambao ulimalizika kwa sare ya bao moja kwa moja.

Walifanya makosa katika mchezo huo, yamewasababishia...

 

3 years ago

BBCSwahili

Paul Pogba: Nyota anayesaka na Manchester United aitwa Juventus

Meneja wa Juventus Massimiliano Allegri amesema amemtaka mchezaji anayetafutwa sana na klabu ya Manchester United Paul Pogba afike mazoezini siku ya Jumatatu.

 

3 years ago

Bongo5

Paul Scholes aitaka United kuwasajili Raphael Varane, Luka Modric na Paul Pogba

futa

Star wa zamanai wa Manchester United Paul Scholes amesema klabu yake hiyo ya zamani iwasajili Luka Modric, Raphael Varane na Paul Pogba katika dirisha lijalo la usajili kama kweli timu hiyo inataka kurejesha mafanikio yake barani Ulaya Scholes aliyesema hayo katika United We Stand fanzine.

futa

Huku pakiwa kuna mabadiliko kadhaa yanatarajiwa kufanyika Manchester United kwa kusajili nyota wapya pamoja na kuwafungisha virago wachezaji waliochemsha, hii ikiwa ni pamoja na benchi la ufundi...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Paul Pogba vs Florentin Pogba, Zlatan kamsaidia Paul kumfunga kaka yake

Usiku wa February 16 ulikuwa ni usiku wa kihistoria katika familia ya mchezaji ghali zaidi dunia Paul Pogba ambapo kwa mara ya kwanza aliingia uwanjani katika mchezo wa UEFA Europa League kucheza dhidi ya kaka yake wa damu Florentin Pogba ndani ya uwanja wa Old Trafford. Huu ni mchezo ambao Paul Pogba alikuwa akiiwakilisha Man […]

The post VIDEO: Paul Pogba vs Florentin Pogba, Zlatan kamsaidia Paul kumfunga kaka yake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Mtanzania

Paul Pogba aanza safari kuelekea United

Paul PogbaLOS ANGELES, MAREKANI

KIUNGO wa klabu ya Juventus, Paul Pogba, ameanza safari yake kutoka jijini Los Angeles nchini Marekani na kuelekea jijini Manchester kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na mashetani wekundu, Manchester United.

Mchezaji huyo amekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu kuweza kukamilisha usajili huo ambao unadaiwa kuwa utavunja rekodi ya usajili duniani, lakini inadaiwa kwamba muda wowote kuanzia sasa atakuwa anamalizana na klabu hiyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani