Paul Scholes aitaka United kuwasajili Raphael Varane, Luka Modric na Paul Pogba

futa

Star wa zamanai wa Manchester United Paul Scholes amesema klabu yake hiyo ya zamani iwasajili Luka Modric, Raphael Varane na Paul Pogba katika dirisha lijalo la usajili kama kweli timu hiyo inataka kurejesha mafanikio yake barani Ulaya Scholes aliyesema hayo katika United We Stand fanzine.

futa

Huku pakiwa kuna mabadiliko kadhaa yanatarajiwa kufanyika Manchester United kwa kusajili nyota wapya pamoja na kuwafungisha virago wachezaji waliochemsha, hii ikiwa ni pamoja na benchi la ufundi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Paul Scholes aponda ada ya Paul Pogba kwenda Man Utd

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England na Man Utd Paul Scholes amepinga vikali ada ya uhamisho ya Paul Pogba wa Juventus kwenda Man United, ambayo imetajwa kuwa ni dola za kimarekani milioni $113.

Paul anasema “Nimewahi kucheza naye kiwanja kimoja zamani na aliondoka mwaka 2012 kutokana na kutaka pesa nyingi sana wakati alikuwa kijana mdogo”

pogba-and-scholes-at-united-2013

Scholes aliendelea kusema “Pesa kama hio wanunuliwe wachezaji wenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwenye msimu mmoja kama Ronaldo au Messi, kwa...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Paul Pogba vs Florentin Pogba, Zlatan kamsaidia Paul kumfunga kaka yake

Usiku wa February 16 ulikuwa ni usiku wa kihistoria katika familia ya mchezaji ghali zaidi dunia Paul Pogba ambapo kwa mara ya kwanza aliingia uwanjani katika mchezo wa UEFA Europa League kucheza dhidi ya kaka yake wa damu Florentin Pogba ndani ya uwanja wa Old Trafford. Huu ni mchezo ambao Paul Pogba alikuwa akiiwakilisha Man […]

The post VIDEO: Paul Pogba vs Florentin Pogba, Zlatan kamsaidia Paul kumfunga kaka yake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

BBCSwahili

Paul Scholes:Manchester United haifai

Manchester United ilikuwa haifai na haikuwa na mpangilio wowote ilipofungwa 2-0 na Liverpool kulingana na Paul Scholes

 

3 years ago

Bongo5

Paul Scholes: Manchester United haikuwa na mpangilio wowote

32140EA700000578-3486622-Former_Manchester_United_midfielder_Paul_Scholes_was_less_than_p-a-50_1457649122016

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Paul Scholes amsema kuwa timu yake hiyo ya zamani ilikuwa haifai na haikuwa na mpangilio wowote ilipofungwa 2-0 na Liverpool kulingana na Paul Scholes ambaye alikuwa kiungo wa kati wa timu hiyo.

32140EA700000578-3486622-Former_Manchester_United_midfielder_Paul_Scholes_was_less_than_p-a-50_1457649122016

Magoli ya Liverpool yalifungwa na Daniel Sturridge na Firmino na kudidimiza matumaini ya Manchester United huku David De gea akizuia mashambulio mengi ya Liverpool.

Scholes aliambia BT Sport kwamba klabu hiyo ya Old Trafford huwa na viwango fulani lakini...

 

3 years ago

BBCSwahili

Paul Scholes: Mourinho ndio dawa ya Man United

Jose Mourinho atajifunza kutoka kwa uzoefu wa Louis van Gaal na kuimarisha mchezo wa klabu ya Manchester United iwapo atachaguliwa kuwa mkufunzi wa timu hiyo.

 

3 years ago

Bongo5

Paul Scholes: Nisingeweza kucheza Man United, kwa mfumo wa Louis van Gaal

scholes-615580Kiungo wa zamani wa Manchester United na England, Paul Scholes ameendelea kumtetea nahodha wa Manchester United Wayne Rooney na kudai kuwa ni vigumu kwa straika yeyote yule kufunga kwa mfumo na staili ya Van Gaal. Paul Scholes amesema amecheza na washambuliaji nguli duniani wakiwemo Rud Van Nisterlooy, Yorke na Teddy Sheringham lakini akasisitiza kuwa mfumo […]

 

3 years ago

MillardAyo

Paul Scholes mapenzi yake kwa Man United yanataka kumuachisha kazi BT Sport ili …

Paul-scholes-coaching

Mchzaji wa zamani wa klabu ya Man United na timu ya taifa ya Uingereza Paul Scholes ambaye amewahi kuichezea klabu ya Man United kwa zaidi ya miaka 15, anatajwa kutaka kuacha kazi yake ya uchambuzi wa soka katika kituo cha BT Sport kwa ajili ya mapenzi yake kwa Man United. Scholes anataka kuachana na kazi […]

The post Paul Scholes mapenzi yake kwa Man United yanataka kumuachisha kazi BT Sport ili … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Mtanzania

Paul Pogba aanza safari kuelekea United

Paul PogbaLOS ANGELES, MAREKANI

KIUNGO wa klabu ya Juventus, Paul Pogba, ameanza safari yake kutoka jijini Los Angeles nchini Marekani na kuelekea jijini Manchester kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na mashetani wekundu, Manchester United.

Mchezaji huyo amekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu kuweza kukamilisha usajili huo ambao unadaiwa kuwa utavunja rekodi ya usajili duniani, lakini inadaiwa kwamba muda wowote kuanzia sasa atakuwa anamalizana na klabu hiyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa...

 

3 years ago

MillardAyo

Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba

Paul-Pogba-GPG2

Baada ya kocha wa Manchester United Jose Mourinho kutambulishwa Old Trafford alifanya mkutano na waandishi wa habari na kuweka wazi kuwa mipango yao kwa sasa ni kusajili wachezaji wanne na kati ya hao watatu tayari wameshafanikiwa kuwasajili ila anaamini mmoja atafanikiwa kumsajili mapema pia bila kumtaja jina. July 7 2016 taarifa kutoka Italia zilizoripotiwa na Di […]

The post Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani