Pep Guardiola: Ander Herrera wa Man United ndio huenda akawa mchezaji wake wa kwanza kumsajili.

maxresdefault2

Kocha Pep Guardiola baada ya uongozi wa Man City kuthibitisha kuwa kocha wao mpya kuanzia msimu ujao, tayari amesha waambia Man City kuwa kuna wachezaji ambao anawataka akiwamo John Stones kutoka Everton mmoja wao ni kutoka kwa majirani zao Man United, Herrera.

Pep-Guardiola11

Inaripotiwa kuwa Guardiola atakapotua Man City mwishoni mwa msimu mchezaji Ander Herrera wa Man United ndio huenda akawa mchezaji wake wa kwanza kumsajili.

maxresdefault2

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Liverpool huenda ndio bora zaidi duniani kwa sasa, asema mkufunzi wa Man City

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kwamba Liverpool huenda ''ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa''

 

2 years ago

Bongo5

Ander Herrera awatoa wasiwasi mashabiki wa Man United

Ikiwa imebakia misimu miwili kumalizika kwa mkataba wake, kiungo wa klabu ya Manchester United, Ander Herrera amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo baada ya kusema kuwa anaipenda timu hiyo na anatamani aendelee kuichezea kwa muda mrefu zaidi.

17d5ec6f0c464fb4a4045160f46f1882

Hivi karibuni mchezaji huyo ameonekana kuwa muhimu kwenye kikosi cha Jose Mourinho huku akifanikiwa kuibuka mchezaji bora kwenye mechi kadhaa japo timu hiyo imeonekana kutofanya vizuri kwenye mechi zake za hivi karibuni huku ikiwa imetumia kiasi...

 

3 years ago

MillardAyo

Eti hii ndio itakuwa mechi yake ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City

Guardiola

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich akimalizia mkataba wake, kabla ya kujiunga na Man City mwishoni mwa msimu Pepe Guardiola, tayari mechi yake ya kwanza akijiunga na Man City kuna tetesi kuwa imejulikana. Pepe Guardiola anatajwa kuwa na tetesi mechi yake ya […]

The post Eti hii ndio itakuwa mechi yake ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Bongo5

Ander Herrera wa Manchester United aitamani Tanzania

Kiungo wa klabu ya soka ya Manchester United, Ander Herrera ameitaja nchi ya Tanzania ni moja kati ya sehemu ambazo hajafika ambazo anatamani siku moja atembelee.

Ijumaa hii mchezaji huyo ambaye ni raia wa Hispania, aliwapa fursa mashabiki kuuliza maswali kupitia mtandao wa Twitter na yeye alikuwa akijibu moja kwa moja kwenye mtandao huo.

Mmoja kati ya mashabiki alimuuliza mchezaji huyo, “Is there someone in the world you would like to visit where you havent been yet?”

Bila ya kutegeme...

 

3 years ago

MillardAyo

Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo June 2 2016

Screen-Shot-2016-05-19-at-16.00.43

Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani aliyekuwa anaichezea klabu ya Borrusia Dortmund Ilkay Gundogan. Man City wametangaza kumsajili Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka minne lakini ada ya usajili ya nyota huyo inakadiliwa kufikia pound milioni 21 ambazo ni zaidi ya […]

The post Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo June 2 2016 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..

Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]

The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya …

Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii Kenya wakati ambao vilabu vya Chelsea na Man United vikitajwa kwa […]

The post Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya … appeared...

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester City: Pep Guardiola asema huenda hajatosha

Pep Guardiola amesema huenda yeye ni mzuri vya kutosha kuwafaa wachezaji wa Manchester City, badala ya kuwa kwamba wachezaji ndio hawatoshi.

 

2 years ago

Bongo5

Mchezaji wa Bournemouth afichua alichoambiwa na Pep Guardiola baada ya mechi

Katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza mchezo ulio pigwa jana kati ya Man City na Bournemouth, na Man City waliibuka na ushindi wa goli 2-0 katika uwanja wa Vitality, lakini matokeo ya mechi hiyo hayakuwa mjadala pekee baada ya filimbi ya mwisho, bali maneno ambayo Pep Guardiola alimwambia kiungo Harry Arter yaliwagusa wengi.

Baada ya mechi hiyo kumalizika Pep alienda moja kwa moja kwa kiungo huyo wa Jamhuri ya Ireland, akashika mkono wake ,na kuongea kwa muda mchache, wakaanza kutembea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani