Pep Guardiola asema hangewapa Arsenal Raheem Sterling

Meneja wa Manchester Pep Guardiola amesema hakukuwa na uwezekano wowote kwamba Manchester City wangemuongeza Raheem Sterling kwenye mkataba wa kumnunua mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kucheza dhidi ya Arsenal

Raheem Sterling atacheza mechi dhidi ya Arsenal licha ya onyo kwamba kilabu hiyo ya Anfield inakabiliwa na changamoto kubwa

 

1 year ago

BBCSwahili

Yaya Toure asema Raheem Sterling angejiangusha

Kiungo wa kati wa Manchester City Yaya Toure amesema winga wa klabu hiyo Raheem Sterling alifaa kujiangusha na kuishindia klabu yake penalti wakati wa mechi yao dhidi ya Tottenham Hotspur Jumamosi.

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester City: Pep Guardiola asema huenda hajatosha

Pep Guardiola amesema huenda yeye ni mzuri vya kutosha kuwafaa wachezaji wa Manchester City, badala ya kuwa kwamba wachezaji ndio hawatoshi.

 

6 months ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Meneja wa Man City asema mpangilio wa mechi umekuwa balaa England

Meneja wa viranja wa Ligi ya Premia Manchester City Pep Guardiola amesema mpangilio wa mechi nyingi msimu wa sikukuu umekuwa "janga" kwa wachezaji.

 

3 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kuelekea Old Trafford?

Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United

 

3 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kuongeza mkataba

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, Raheem Sterling atasaini mkataba mpya utakaombakisha klabuni hapo kwa muda mrefu.

 

2 years ago

MillardAyo

Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola …

Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep Guardiola. Matthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa kocha huyo kwa klabu ya FC Bayern Munich. Mashaka ya staa huyo wa zamani wa FC Bayern Munich Matthaus yamekuja kutokana na Pep Guardiola kutangaza kuwa ataondoka […]

The post Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola … appeared first on...

 

3 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling kuipa kisogo Liverpool?

Raheem Sterling wa Liverpool anatarajia kumuaga kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers na kuondoka Anfield msimu huu.

 

3 years ago

Africanjam.Com

RAHEEM STERLING HATIHATI KUTUA OLD TRAFFORD

Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za uhamisho huo hususan kutokana na ushindani mkali uliopo kati ya klabu hizo mbili.Hatahivyo Liverpool imesema kuwa haiko tayari kufanya biashara na wapinzani wao wakuu kutoka Kaskazini Magharibi.
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Luois Van Gaal anavutiwa na kasi ya mchezaji huyo na uwezo wake wa kuwaponyoka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani