PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo anayetajwa kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo Movies

Pete ya Uchumba Siyo Kigezo Kuwa Utaolewa- Wolper

Msanii wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kwamba siyo vizuri kuzungumzia masuala ya mchumba kwenye vyombo vya habari au kujitangaza sana kwani mtu unaweza kuishia kwenye kuvishwa pete ya uchumba tuu.

WOLPER888

 

Wolper amefunguka hayo katika kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV ambapo mtangazaji Deogratius Kithama alitaka kujua kwa undani kuhusu mwanadada huyo mrembo ni nani mchumba wake na yupo wapi kwa sasa.

”Mimi sipendi kuzungumzia masuala ya mahusiano yangu na mchumba wangu kwenye...

 

3 years ago

Mtanzania

Blac avishwa pete ya uchumba

Blac Chyna Shops In The LA Fashion DistrictLAS VEGAS, MAREKANI

ALIYEKUWA mke wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Tyga, Blac Chyna, amevishwa pete ya uchumba na kaka wa Kim Kardashian, Rob Kardashian.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Blac, mwenye umri wa miaka 27, ameweka picha yake huku akionesha pete hiyo ya dhahabu, huku picha nyingine ikimuonyesha akiwa na mpenzi huyo mpya.

Hata hivyo, Blac anaonekana kulipiza kisasi kutokana na baba mtoto wake, Tyga, kutoka na mdogo wake Kim, anayejulikana kwa jina la Kylie Jenner, hivyo Blac...

 

3 years ago

Global Publishers

Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!

kylie-jenner-18-birthday-party-21-tyga-ffnTyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.

HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.

RING

Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.

Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.

Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;

“Kila mwaka katika msimu huu wa...

 

4 years ago

Mtanzania

Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba

Huddah-Monroe-Image-from-izvipiNairobi, Kenya

MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.

“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...

 

4 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO

Mwandishi wetu
MSHTUKO! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezua gumzo ukumbini baada ya kuonekana akiwa amevaa pete iliyoaminika kuwa ni ya uchumba na kusababisha minong’ono miongoni mwa mashabiki wake. Mpango mzima ulijiri wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Sinema wa Mlimani City (Cinemax) kulipokuwa na uzinduzi wa sinema ya 10 Bora ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talent, mwaka jana...

 

4 years ago

GPL

SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA

Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’. NA Mayasa Maliwata
STAA wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka. Staa wa muziki wa mduara Zuwena Mohammed ‘Shilole’akivikwa pete na mwandani wake, Nuhu… ...

 

5 years ago

GPL

LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA

Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa na ‘mtu’ wake ambaye si raia wa Tanzania. Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa Lucy alipigwa chapo akiwa na pete hiyo kwenye msiba wa muigizaji Saidi...

 

3 years ago

Mtanzania

Teyana Taylor avishwa pete ya uchumba

Teyana-Taylor-Iman-Shumpert-bet-awards-2015-billboard-650LAS ANGELES, MAREKANI

MSANII wa muziki na filamu nchini Marekani, Teyana Taylor, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Iman Shumpert, ambaye ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Cleveland Cavaliers.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 25, amesema umri wake umefikia hatua ya kuolewa na tayari amempata mwanamume sahihi katika maisha yake.

“Nilikuwa nikisubiri muda kufanya maamuzi haya, nadhani huu ni umri wangu sahihi wa kuolewa, nashukuru nimempata mwanamume sahihi, tumekubaliana...

 

3 years ago

Global Publishers

Drake amvalisha Rihanna pete ya uchumba

rihanna-drakeDrake na Rihanna

Mwanamuziki Robin Rihanna Fenty na rapa Aubrey Drake Graham ‘Drake’ wameingia kwenye vichwa vya habari mitandaoni baada ya Drake kumvalisha Rihanna pete ya uchumba ya almasi yenye thamani ya Dola Milioni 1.

Pete hiyo yenye uzito wa gramu 16 ilivaliwa na Rihanna kwenye Tuzo za Billboard, mazingira yaliyoonesha kuwa wawili hao siyo kwamba ‘wanadate’ tu bali ni wachumba.

Rihanna na Drake waliwahi kuwa wapenzi mwaka 2014 ambapo Drake alimfuata mdada huyo jijini London, nchini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani