Peter Kenneth kuwania ugavana wa Nairobi kama mgombea huru

Aliyekuwa mgombea wa urais nchini Kenya, Peter Kenneth, alitangaza Ijumaa kwamba atawania kiti cha gavana wa kaunti ya Nairobi kama mgombea huru kwenye uchaguzi wa urais wa tarehe nane mwezi Agosti mwaka huu.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Zanzibar 24

Mgombea ugavana nchini kenya aahidi kuboresha biashara ya ukahaba endapo atashinda

Dkt. Hezron Mc’Obewa, ambaye anagombea ugavana katika jimbo la Kisumu nchini kenya ili kumng’oa kiongozi aliyepo sasa, Jack Ranguma amewaahidi wapiga kura kuwa ataweka mazingira rafiki kwa wanaofanya biashara ya kuuza miili yao (makahaba).

Mgombea huyo aliyasema hayo siku ya Jumanne alipokuatana na makahaba zaidi 300 katika Taasisi ya Goan, Dkt. Mc’Obewa aliongeza kusema kuwa atashinikiza mikutano ya kimataifa iwe inafanyikia pia Kisumu ili makahaba hao waweze kupata soko.

 “Watu hawa...

 

2 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

6 months ago

Zanzibar 24

Mbunge wa Kilombero (CHADEMA) Peter Lijualikali aachiwa huru

Mahakama Kuu ya Dar es Salaam leo March 30 imetengua hukumu aliyopewa Mbunge wa Kilombero wa tiketi ya CHADEMA, Peter Lijualikali na kumuachia huru kwa  kifungo cha miezi sita alichohukumiwa kukitumikia gerezani.

January 11 2017 Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa miezi 6 jela kwa  kupatikana na kosa la kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero na kushitakiwa kwa  kuwashambulia polisi siku hiyo ya uchaguzi, huku...

 

7 months ago

BBCSwahili

Mashindano ya ndondi kuwania mkanda wa Commonwealth yakamilika Nairobi

Mashindano ya ndondi ya ambayo yalikuwa ya kusindikiza pigano kati ya Maurice Okolla (Kenya) na Alick Gogodo (Malawi) kuwania mkanda wa Commonwealth katika uzani wa Heavyweight yamekamilika Nairobi

 

3 years ago

Bongo5

Peter Msechu aelezea furaha aliyoipata baada ya kutajwa kuwania tuzo (AFRIMA) kwa mara ya kwanza, leo siogi!

Mwimbaji Peter Msechu ameelezea furaha yake baada ya kutajwa kuwania tuzo za kimataifa za ‘All African Music Awards’ 2014 (AFRIMA) za Nigeria (Ingia hapa), ambazo majina ya wanaoshindanishwa yalitangazwa wiki iliyopita. Msechu ambaye ametajwa kuwania tuzo hizo pamoja na Diamond na Vanessa Mdee, amesema kuwa ameweka rekodi katika historia yake ya muziki kwa kuwa hajawahi […]

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani