Picha : AGAPE YAENDESHA BONANZA LA MICHEZO KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UJINSIA KIJIJINI

Shirika lisilo la kiserikali AGAPE AIDS CONTROL PROGRAM la Mkoani Shinyanga linalojishughulisha na masuala ya jamii, limetoa elimu ya afya ya uzazi na ujinsia kwa njia ya bonanza la michezo kwenye vitongoji vya Buchamike,Shabuluba, Mwagala na Uswahilini vilivyopo pembezoni mwa kata ya Usanda Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.


Bonanza hilo limeendeshwa Ijumaa Mei 10, 2019 kwenye viwanja vya michezo vya kitongoji cha Buchambi kata ya Usanda ambapo kumefanyika michezo mbalimbali ikiwemo...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Utoaji elimu ya afya ya uzazi na ujinsia wafanikiwa

DSC09685

Mratiibu msaidizi wa polisi mkoa wa Singida,Irene Mbwatila,(anayeangalia kamera),akizungumza na timu ya pamoja ya maafisa wa shirika la HAPA,YMC na RFSU, inayofanya utafiti juu ya mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia.

DSC09706

Baadhi ya wanaume wakiwa na wake zao wakazi wa kijiji cha Ntuntu wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, wakiwa kwenye foleni katika kliniki ya kijijini hapo,wakisubiri kuingia kumwona muuguzi. Elimu iliyotolewa kwa pamoja na mashirika ya HAPA na...

 

2 years ago

Michuzi

WAKINA BABA WATAKIWA KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA WATOTO WAO

Na Dotto Mwaibale
WAKINA Baba nchini wametakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wao badala ya kuwaachia kazi hiyo ifanywe na wakina mama pekee.
Mwito huo umetolewa na Selemani Bishagazi wakati akichangia mada katika kongamano la siku moja lililohusu elimu ya afya ya uzazi kwa watoto hasa wa kike lililoandaliwa na TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam jana.
"Suala la utoaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wetu hasa wa kike ni letu sote kati ya baba na mama kwani baba ndie chanzo kikubwa...

 

2 years ago

Malunde

AKINA BABA WATAKIWA KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA WATOTO WAOOfisa Programu wa TGNP Mtandao, Anna Sangai (kushoto), akitoa mada katika kongamano la siku moja lililohusu elimu ya afya ya uzazi lililofanyika Makao Makuu ya TGNP Mabibo Dar es Salaam jana. Kongamano hilo liliandaliwa na TGNP.
Mwanafunzi Leila Kisinga kutoka Sekondari ya Mabibo akitoa mada kuhusu via vya uzazi vya mwanamke vinavyofanya kazi.Kongamano likiendelea.
Mshiriki Idd Hamisi akichangia jambo katika kongamano hilo.

Usikivu katika kongamano hilo.

Aisha Kijavara akichangia.

Akina mama...

 

1 year ago

Malunde

Picha : AGAPE YAENDESHA KONGAMANO KWA WANAFUNZI SHULE 8 ZA KATA YA USANDA SHINYANGA

Shirika la Agape AIDS Control Programme (AACP) limeendesha kongamano kwa wanafunzi 120 kutoka shule nane zilizopo katika kata Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga (Vijijini) kwa lengo la kuwajengea uelewa wanafunzi kuhusu masuala ya afya ya uzazi na ujinsia.


Kongamano hilo lililoongozwa na mdahalo wenye mada "Je Kijana akibalehe/akivunja ungo anakuwa tayari kuoa/kuolewa au kufanya ngono?" limefanyika leo Jumapili Mei 13,2018 katika ukumbi wa Ibanza Hotel uliopo mjini Shinyanga.
Mbali na...

 

1 year ago

Malunde

Picha : AGAPE YAENDESHA WARSHA KWA WAWAKILISHI WA VIJANA NA WATU WAZIMA KUKUTANA NA WAIDHINISHA NDOA KISHAPU


Mkurugenzi wa shirika la AGAPE,John Myola akizungumza katika warsha kwa warsha kwa wawakilishi wa vikundi vya vijana na watu wazima wanaoshiriki katika mapambano dhidi ya mila na desturi kandamizi wilayani Kishapu *****Shirika la AGAPE Aids Control Programme limeendesha warsha kwa wawakilishi wa vikundi vya vijana na watu wazima watakaokutana na waidhinisha ndoa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ili kukabiliana na mila na desturi kandamizi zinazochangia ndoa na mimba za utotoni. 
Warsha hiyo...

 

2 years ago

Michuzi

Taasisi kumi za vijana kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana wenzao nchini

Jumla ya taasisi kumi za vijana zimeungana ili kuzidisha nguvu ya kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana wenzao nchini Tanzania na zaidi ikilenga matumizi ya mpango wa uzazi. Vijana hao wamejizatiti kuhahakisha kuwa kuna uwekezaji wa kutosha kwenye elimu juu ya uzazi wa mpango na pia vijana kuhusisha kwenye maamuzi yanayohusu vijana na afya ya uzazi.

Taasisi hizo zimetiliana saini makubaliano na kuwa taasisi moja ikayoitwa Tanzania Adolescent and Youth Reproductive Health (TAYAHR)...

 

3 years ago

Dewji Blog

TAWLA yaendesha semina kwa wanahabari kuhusu haki ya afya ya uzazi na changamoto zake

Chama cha Wanasheria Wanawake nchini (TAWLA) kimetoa mafunzo kwa waandishi wa habari yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya haki ya afya ya uzazi, changamoto wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi ya sheria za kimataifa zitaweza kupunguza chanagamoto hizo.

1

Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga akifungua mafunzo kwa wanahabari hawapo pichani yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya Taifa ya Takwimu yaendesha mafunzo ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na Malaria jijini Moshi, Kilimanjaro

UFUNGUZI 1

Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Kinga, Dkt. Neema Rusibamayila kutoka Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii akiwahutubia washiriki wa mafunzo ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria Tanzania wa mwaka 2015 yaliyofanyika leo Moshi, mkoani Kilimanjaro.

UFUNGUZI 2

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akitoa maelezo ya awali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria Tanzania wa mwaka 2015 yaliyofanyika leo Moshi,...

 

4 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDESHA MAFUNZO YA UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO NA MALARIA TANZANIA, 2015 MOSHI, KILIMANJARO.

Na: Veronica Kazimoto, MOSHI AFYA ya Uzazi na Mtoto ni viashiria vizuri vinavyoonyesha maendeleo ya uchumi na kijamii na vinaainishwa na utoaji endelevu wa huduma za afya nchini.  Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Kinga, Dkt. Neema Rusibamayila kutoka Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii wakati akifungua rasmi mafunzo ya Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi wa Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria Tanzania wa mwaka 2015 yaliyofanyika Moshi, mkoani Kilimanjaro.
"Kutokana na umuhimu wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani