Picha : DC MUSOMA AZINDUA RASMI SHINDANO LA MISS MARA 2018

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vicent Naano amezindua rasmi Shindano la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mara " Miss Mara 2018" linalotarajiwa kufanyika Julai 7,2018.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa shindano hilo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Le Grand Hotel mjini Musoma,Naano amesema kampuni ya Space 2000 Co. Ltd inayoandaa mashindano hayo itafanikiwa kurudisha hadhi ya mashindano hayo ikiwa itafanikiwa kumpata mrembo anayekidhi vigezo na atakayepatikana kwa haki bila kufanya shindano...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

WAZIRI DKT. MWAKYEMBE AWA MGENI RASMI FAINALI ZA SHINDANO LA BONGO STYLE,AKARIBISHA SHINDANO HILO KUFANYIKA BUNGENI DODOMA 2018

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa hotuba yake wakati wa fainali za shindano la Bongo Style, lililofanyika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam, linalohusisha fani za ubunifu wa mavazi,upigaji picha na uandishi wa miswada ya filamu ambapo aliipongeza Taasisi isiyo ya kiserikali ya Faru Arts and Development Organization(FASDO) kwa kuandaa mashindano hayo, alisema kuwa Serikali inalojukumu la kusaidia Asasi kama FASDO ambazo zinaingia katika maswala...

 

5 years ago

Michuzi

Semina ya mawakala wa shindano la Redd's miss Tz yafungwa Rasmi

 Meneja wa kinywaji cha Redd’s Origina Victoria kimaro katikati akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa viongozi wa kamati ya Miss Tanzania katika siku ya kufunga semina ya mawakala wa shindano la Redd’s miss Tanzania kwa mwaka huu, kushoto kwake ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO Intenational Agency Hashim Lundenga, Redd’s Miss Tz 2013 Happines Watimanya na Meneja masoko wa TBL Vimal Vaghmaria kulia mwenye miwani.   Redd’s Miss Tz 2013 Happines Watimanya  akiwa katika picha ya pamoja na...

 

1 year ago

Michuzi

Serikali yabariki Shindano la Miss Tanzania, sasa rasmi kubeba sura ya nchi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akipokea mpango mkakati wa Mashindano ya urembo nchini (Miss Tanzania) kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya The Look, Basilla Mwanukuzi ambaye sasa ndiye muendeshaji wa Mashindano hayo. Serikali imetoa baraka zake kwa uongozi wa The Look Company Limited kwa nia yake ya kurudisha heshima, hadhi na mvuto wa tasnia ya urembo hapa nchini kupitia Mashindano hayo.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison...

 

5 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa shindano la Miss Ilala 2014 watambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Skylight Band

DSC_0089

Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku.

DSC_0024

Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kushoto ni Meneja wa Band Aneth Kushaba akimpa sapoti.

DSC_0169

Mashabiki wa Skylight Band...

 

5 years ago

GPL

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND‏

Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku. Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Villageā€¦ ...

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 11: Miezi 6 baada ya shindano, Miss TZ apewa zawadi ya gari lake leo

Kamati ya shindano la Urembo la Miss Tanzania leo May 11 2017 Dar es salaam imemkabidhi Diana Edward Miss Tanzania 2016 zawadi yake ya gari (Suzuki Swift) ikiwa ni zaidi ya miezi 6 toka fainali ya shindano lenyewe ifanyike. ULIPITWA? Fainali nzima ya Miss Tanzania 2016 ipo kwenye hii video hapa chini…. EXCLUSIVE INTERVIEW: Miss Tanzania […]

The post PICHA 11: Miezi 6 baada ya shindano, Miss TZ apewa zawadi ya gari lake leo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA MH. HALIMA DENDEGU AZINDUA RASMI SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2016 KATIKA UWANJA WA MASHUJAA.

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendegu akitoa Hotuba yake kwa wakazi wa Mtwara na Kuzindua Rasmi Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2016 linaloendeshwa na Shirika la Kimataifa la  OXFAM Tanzania . Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh. Fatma Ally akizungumza na wakazi wa Mtwara,wageni mbalimbali na wadau pia kufungua rasmi sherehe hizo wakati wa Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani na Uzinduzi wa Shindano la Mama wa Chakula kwa Mwaka 2016 Meneja wa Programu ya Uwazi na Utawala Bora kutoka...

 

3 years ago

MillardAyo

Picha 20: Tukio zima la Miss Tanzania 2016, lilofanyika Mwanza kwa Mara ya Kwanza

3x6a0631

Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana  Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30, millardayo.com inakupata picha […]

The post Picha 20: Tukio zima la Miss Tanzania 2016, lilofanyika Mwanza kwa Mara ya Kwanza appeared first on...

 

2 years ago

Malunde

Angalia Picha : WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA


Washiriki wa shindano la kutafuta mrembo wa mkoa wa Shinyanga “Miss Shinyanga 2017”,wameunga mkono kampeni ya upandaji miti iliyoanzishwa katika wilaya ya Shinyanga na Mkuu wa wilaya hiyo Josephine Matiro hivi karibuni ili kupambana na hali ya ukame/jangwa mkoani humo.

Mapema leo Ijumaa Oktoba 13,washiriki hao wa shindano hilo la mrembo wa mkoa wa Shinyanga linalotarajiwa kufanyika Oktoba 15 mwaka huu,walimwagilia maji miti mbalimbali iliyopandwa mjini Shinyanga.
Akizungumza wakati wa zoezi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani