Picha : SHUHUDIA HAPA UZINDUZI WA FILAMU YA 'LAANA YA MKE',MAMBO NI MOTOOOO!!

Hatimaye Filamu ya "Laana ya Mke" imezinduliwa rasmi usiku wa Machi 23 kuamkia Machi 24,2018 katika ukumbi wa katika ukumbi wa NSSF ya zamani “CCM mkoa wa Shinyanga na kuhudhuria na wapenzi wa filamu ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga.

Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Mheshimiwa Josephine Matiro.
Uzinduzi huo pia umehudhuriwa na Katibu wa Bodi ya Filamu nchini Joyce Fissoo pamoja na mwigizaji maarufu wa Filamu Blandina Chagula 'Johari' ambaye kwao ni Shinyanga...

Malunde

Read more


Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani