Picha : WAZIRI UMMY ATOA ZAWADI YA VYAKULA KWA TAASISI 10 TANGA KWA AJILI YA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu kupitia taasisi yake ya Odo Ummy Foundation leo Jumatatu Mei 28,2018 amekabidhi vyakula mbalimbali kwa taasisi 9 za kiislamu na Magereza zilizopo Jijini Tanga ili viweze kuwasaidia wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Taasisi zilizopata zawadi ya vyakula ni Maawal Islam, Shamsiya (Tamta),Zaharau ,Shamsul Maarifa,Swalihina Islamic Centre, Sahare ,Kituo cha Yatima cha Answar Muslim Youth Makorora ,Kituo...
Malunde
Habari Zinazoendana
5 years ago
CloudsFM02 Jul
BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.
Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.
“Tabia hii si nzuri na...
11 months ago
MichuziWAZIRI UMMY AMTAKA DED TANGA KUTENGA ENEO KWA AJILI YA TAASISI YA GIFT OF HOPE
Hayo ameyazungumza alipotembelea kituo hicho kinacho wasaidia waat hirika wa madawa ya kulevya kilichopo eneo la Kange kata ya Maweniambapo alikabidhi pikipiki 1 kwa ajili ya kituo hicho.Waziri Ummy alisema jambo linalofanywa na taasisi hi yo lazima liungwe mkono na Serikali...
4 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF ATEMBELEA MASOKO KUANGALIA UPATIKANAJI WA VYAKULA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
5 years ago
Michuzi.jpg)
DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
2 years ago
Mwananchi25 May
Lowassa atoa neno kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani
9 months ago
MichuziWAZIRI UMMY AMWAGA FUTARI KWA TAASISI 10 ZA KIDINI NA MAGEREZA JIJINI TANGA
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kupitia Taasisi yake ya Odo Ummy Foundation leo amegawa futari kwa taasisi za kiislamu na magereza zilizopo Jijini Tanga vyakula mbalimbali ili viweze kuwasaidia wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Vyakula ambavyo vimetolewa na Waziri Ummy ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kwa kila taasisi ni Unga wa Ngano Kg 50, mchele kg 100,Sukari Kg 25,Tambi Mfuko miwili,Mafuta ya kula lita 20,Maharage kg...
2 years ago
Zanzibar 2429 May
Wananchi walalamikia kupanda kwa bei za vyakula katika mwezi huu wa ramadhani
Wananchi wamewalalamikia wafanyabiashara wanaouza bidhaa zinazotumika katika mwezi mtukufu wa ramadhani kuwa hadi sasa wameshindwa kutekeleza agizo la serikali kushusha bei kwa bidhaa hizo.
Wakizungumza na Zanzibar24 kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi hao wamesema bidhaa zinazotumika kwa futari bado hazinunuliki ukilinganisha na mwezi wa kula mchana hali yanayopelekea kushindwa kumudu harama za manunuzi.
Kwa upande wao baadhi ya wafanyabiasha wamekiri kuwa hali ya bei bado ipo juu...
9 months ago
MichuziSERIKALI KUTENGA KILA MWEZI MILIONI 55 KWA JIJI LA TANGA KUHAKIKISHA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WANAPATA ELIMU BORA-WAZIRI UMMY
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu amesema serikali kila mwezi imekuwa ikitenga fedha kiasi cha sh.milioni 55 kwenye Jiji la Tanga kwa ajili ya shule za msingi ili kuhakikisha wanafunzi wanasoma bila kuwepo kwa vikwazo na hivyo kupata elimu bora.
Aliyasema hayo wakati ufunguzi na kukabidhi vyumba vya madarasa 11 kwenye shule ya Msingi Bombo kwa halmashauri ya Jiji hilo ambavyo ujenzi wake ulichukua zaidi ya mwaka mmoja na kulazimika wanafunzi kuwepo nje...
3 years ago
MichuziWAZIRI WA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR ATEMBELEA MAGHALA YA KUHIFADHIA VYAKULA KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
Na Takdir Ali-Maelezo Zanzibar . SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema haitamvumilia mfanyabiashara yeyote atakayebainika kuuza bidhaa zilizopitwa na wakati.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali, amesema kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wananchi juu ya tabia ya baadhi ya wafanyabiashara kuwauzia vitu vilivyopitwa na wakati.
Amefahamisha kuwa, udanganyifu huo unaofanywa na wafanyabiashara huwasababishia wananchi kupata maradhi mbalimbali...